Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Chukua yanayokufaa na yasiyokufaa yaache. Hayo yametoka ktk vitabu vya kiislam kama ni mabaya yaacheSasa nisijitenge na Qur'an kwan mi muislamu..
So ni special kwa wenye swaumu..Chukua yanayokufaa na yasiyokufaa yaache. Hayo yametoka ktk vitabu vya kiislam kama ni mabaya yaache
Kuchepuka??.G imenigusa,nilikuwa naelekea kufanya maamuzi ya ajabu kwa ubinafsi wangu
Mambo mengine ni kaaazi kweli kweliSasa nisijitenge na Qur'an kwan mi muislamu..
True !Chukua yanayokufaa na yasiyokufaa yaache. Hayo yametoka ktk vitabu vya kiislam kama ni mabaya yaache
SawaAsante kwa mada yako bora.
Kuna mbabu kazaa nae sasa anataka amkimbie atafute ki ben10!Kuchepuka??.
Hahahaha kumbe nilikua mule mule dahhhh aiseeeKuna mbabu kazaa nae sasa anataka amkimbie atafute ki ben10!
InterestnA. *Watu wane usiwanunie*
1. Baba yako
2. Mama yako
3. Dada yako
4. Kaka yako
B. *Mambo mane jilinde nayo*
1. Majonzi
2. Huzuni
3. Uzembe
4. Ubakhili
C. *Watu wane usiwapige vita*
1. Yatima
2. Masikini
3. Faqiri
4. Mgonjwa
D. *Sifa nne jipambe nazo*
1. Subira (Uvumilivy)
2. Upole
3. Ilimu
4. Ukarimu
E. *Watu wane suhubiana nao*
1. Msafi wa nia (Mukhlis)
2. Muaminifu
3. Mkarimu
4. Msema kweli
F. *Watu wane usisuhubiane nao*
1. Mwongo
2. Mwizi
3. Hasidi
4. Mmimi
G. *Watu wane usiwanyime ukarimu wako*
1. Mkeo/mmeo
2. Watoto wako
3. Jamaa zako
4. Marafiki zako
H. *Mambo mane shikamana nayo; usijitenge nayo*
1. Swalaa
2. Qur’ani
3. Adhkaar
4. Ndugu wa fuko la uzazi (Ndugu wa kukeeni)[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Pole sana, remember to shift from me to we so that to get happy life but not economically...G imenigusa,nilikuwa naelekea kufanya maamuzi ya ajabu kwa ubinafsi wangu