nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,638
- 20,254
mkuu Ab-Titchaz huyu delonte west is too years older than lebron james,watu wanasema ni kama ametembea na mwanaye,ni kama kumdhalilisha mwanae.Mbona hawa ni watu wazima jamani?...wana ruksa kutenda walotenda na kama mtu ka'kwazika pasi pole yake!