Jiko la kisasa....

Hicho cha chini ya sufuria ni chungu? Sijaona vizuri
 
Huo upishi wa ku steam itakua chungu kimewekwa maji kina toa mfuke kupasha moto sufuria huku chakula kinawiva lol

Au kwenye chungu kuna maharage yanatokota huku mvuke wake ukiivisha wali na mchicha kwenye hayo masufuria.....maharage yakiiva na vyote juu vimeiva! Si mchezo....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…