Dodoma messengers
JF-Expert Member
- Aug 28, 2019
- 612
- 958
Linabajet matumizi ya mkaa
Utaratibu wa Malipo Upoje kwa Mie niliye Mkoani Geita.?Kwa Morogoro Mzigo unakufikia BURE. Mikoani tunatuma kwa Basi.. karibuni
0621149433
Swali zuri sana. hizi nazo zitapitaHow? Linafanyaje kupunguza hiyo budget, kuna specification ya products yenye kuonesha kipimo/kilo/Calories/ etc? Any digits kwa hiyo budget?
Maharage ili yaive yanahitaji kwango cha moto X kwa muda Y.
Hapo itatofautiana na mkaa either wa Mwembe, Mkorosho, Mfenesi etc.
Anyway, usione nimeandika kinongwanongwa maana nishanunulishwa ma vitu kama haya halafu yakawa hayaleti kusudio..
Nmeyapokea huku chunya nategemea majibu kwa wife ntaleta mlejesho soon baada ya siku ngapi ivView attachment 2481045View attachment 2481046Swali zuri sana. hizi nazo zitapita
Unalipia moja kwa moja kwenye lipa Namna ya kampuni kisha Unatumiwa kwa BasiUtaratibu wa Malipo Upoje kwa Mie niliye Mkoani Geita.?
Ahsante kwa shuhuda Kiongozi. Karibu tenaNiliwahi tumia yale ya rwanda. Yako poa sana. Mkaa kidogo na likipata moto limepata.
Haya majiko mie ni mtumiaji mzuri so nayajua vilivyo
Dodoma mpo?mtandaoni vipi mnapatikana kwenye tovuti ipi?Haya ni majiko ya kisasa yenye material maalum ya kuzuia joto lisipotee hivyo kukuwezesha kutumia mkaa kidogo tu kuivisha vyakula.
Unapewa pamoja na warrant ya mwaka mmoja. Kwa mkoa Morogoro mzigo unakufikia BURE, mikoa mingine tunatuma kwa njia ya basi.
Piga 0621149433.
View attachment 2472027View attachment 2472029
Dodoma Unafikishiwa, kwa nauli yako lakiniDodoma mpo?mtandaoni vipi mnapatikana kwenye tovuti ipi?
Maana haya ya kuweka namba tu,siku Hz Kuna wasiojulikana
Poaa ntkakucheki0621149433