Jiko jipya la kisasa - DIGITAL...

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
Jiko jipya la kisasa - DIGITAL.LLLLLLLLLLLLLLLLLLLLLL LLLLLLLLLLLLLLLLLLLL ...
 
D 007 Una utani na wapishi au ndio promo?
 
Last edited by a moderator:
Wapi MOD huyu atakuwa amekosea Jukwaa, Huku watu wanajadili jinsi ya Kutengeneza Feature na si mambo ya utani na joke
 
.............hii dijitali sasa........hata sigara zitakuja za kidijitali................
 
Hii kitu ipo sana kwenye mashule hasa boarding...
Nakumbuka enzi hizo tulikuwa tunatengeneza HEATER za umma na terminal za betri,
unaweka maji ka lita 10 heater unakuta inanguruma ka trekta,
shughuli wakati wa kuitoa kwenye umeme,
ukikaa ovyo lazima ule short kutoka kwenye ule mvuke!
 
hili jiko lina king'amuzi kwahiyo? maana analojia ni moshi myupu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…