Maji safi na salama kwa wakazi wa Kanombe, jijini Kigali.
Mamlaka husika, ilionywa kwa tuhuma za kupoteza zaidi ya bilioni 7 za maji masafi, yaliyoandaliwa, yakaishia njiani bila kuwafikia watumiaji, na wenyewe mpaka sasa wanalalamika kudaiwa maji ambayo hata hayatoki, wanaishia kutafuta maji kwenye mabonde mbali mbali jijini humo.