Nimependa maoni yenu
Utayafanyia kazi? Au umependa tu!
^%&*()_$#@!*&^(_-)Sasa wewe mkabila watu wanaongelea mji wa kistaarabu na waungwana wa Tanga na wewe unataka kutuchafulia hewa kutukaribisha kwenye mji wa wanywa gongo wavutaji jani la chaarusha pamoja na mbunge wenu mliwa mini kabang, msitutaafish na kututia kichefuchefu.
Sio wafanyakazi pekee hata wafanya biashara ndio poa sana