Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,261 Reaction score 72,431 Oct 24, 2017 #21 mwengeso said: Wachache nilio wanukuu, japo ni wanaJF wazoefu, kama Joseverest, naamini mmepitia post hii: Mwanza City: The Photo Gallery Click to expand... Hapa sawa
mwengeso said: Wachache nilio wanukuu, japo ni wanaJF wazoefu, kama Joseverest, naamini mmepitia post hii: Mwanza City: The Photo Gallery Click to expand... Hapa sawa
REDEEMER. JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 8,918 Reaction score 14,896 Oct 24, 2017 #22 Watu waende kujenga igoma na buzuruga maeneo mengine yote ni vilima tu hakuna flat areas sasa watu wanataka kubanana mjini Wasukuma wameondoshwa wote mjini wanaenda Shinyanga na Simiyu.
Watu waende kujenga igoma na buzuruga maeneo mengine yote ni vilima tu hakuna flat areas sasa watu wanataka kubanana mjini Wasukuma wameondoshwa wote mjini wanaenda Shinyanga na Simiyu.
Tembo2 JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 530 Reaction score 911 Oct 24, 2017 #23 Frank Wanjiru said: Nilishasema hapa na narudia kusema tena,Mwanza sio Jiji bali ni mkoa ambao kwasasa unalingana kwa kila kitu na mkoa wa Kigoma. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app Click to expand... Una matatizo kidogo ya akili
Frank Wanjiru said: Nilishasema hapa na narudia kusema tena,Mwanza sio Jiji bali ni mkoa ambao kwasasa unalingana kwa kila kitu na mkoa wa Kigoma. Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app Click to expand... Una matatizo kidogo ya akili
JFK wabongo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2015 Posts 3,887 Reaction score 3,201 Oct 24, 2017 #24 ram said: Aahahahaha...niko mlima wa ghana, karibu na mnara wa vodacom Click to expand... Karibu Ibanda ule samaki
ram said: Aahahahaha...niko mlima wa ghana, karibu na mnara wa vodacom Click to expand... Karibu Ibanda ule samaki