Nilishashuhudia maafa Mara moja jiwe lilipoangukia nyumba na kuua wanafamilia waliokuwemo ndani.Ni kweli kabisa watu wamevamia milimani na kujenga kiholela. Ukiangalia jinsi mawe yalivyokaa ilitokeà yakapolomoka tutegemee maafa mkubwa sàna
Mlima wa kabuhoro wamejaa wahaya watupuNilishashuhudia maafa Mara moja jiwe lilipoangukia nyumba na kuua wanafamilia waliokuwemo ndani.
Lakini asilimia kubwa ya wanaojenga milimani ni wageni (hasa wakurya) na si wenyeji.
Mlima wa kabuhoro wamejaa wahaya watupuNilishashuhudia maafa Mara moja jiwe lilipoangukia nyumba na kuua wanafamilia waliokuwemo ndani.
Lakini asilimia kubwa ya wanaojenga milimani ni wageni (hasa wakurya) na si wenyeji.
Sawa, ndio maana nilitumia neno 'hasa'Mlima wa kabuhoro wamejaa wahaya watupu
Nikutumia tiketi ya Precision uje? hahahaahaThread haina picha, wengine mwanza tunapasikia tu
mtaa wa Bukoba na KamachumuMlima wa kabuhoro wamejaa wahaya watupu
Tehe teh ingekuwa poa sana....Hilo jiji natamani kuja sana yaaniNikutumia tiketi ya Precision uje? hahahaaha
Hahaa kwahiyo kila mlima na kabila lake hiyo kabuhoro ni wahaya,wakerewe,wakara ndio wengiMlima wa kabuhoro wamejaa wahaya watupu
We utakuwa jirani yangu!Mlima wa kabuhoro wamejaa wahaya watupu
Hahaa kwahiyo kila mlima na kabila lake hiyo kabuhoro ni wahaya,wakerewe,wakara ndio wengi
We utakuwa jirani yangu!
Picha pls
Thread haina picha, wengine mwanza tunapasikia tu
Wachache nilio wanukuu, japo ni wanaJF wazoefu, kama Joseverest, naamini mmepitia post hii:weka picha mkuu