Wao waliamin kuwa wakimchagua tulia akson watatua matatizo lakin, lakin ukiangalia ni hali ya jiji hilo lilivyo wajuaji wengi ssnaNani atalitendea haki jiji hili ambalo kila siku linarudi nyuma badala ya kwenda mbele, wananchi wa jiji hili waliamini kwamba kumchagua Tulia kungeleta nafuu barabara zingejengwa ikiwepo hii barabara kubwa ya kuelekea Tunduma lakini wapi hali inazidi kuwa mbaya sana!
Kitu ambacho kinashangaza Tulia Aksoni hata yeye hajui afanye nini ametulia kama jina lake lilivyo anawaza uchaguzi tu lakini jiji linazidi kudorola.
Pale uhindini toka palivyoungua kile kisoko mpaka leo zaidi ya miaka 15 halmashauri ya jiji haijui ifanye nini!
Maji bado ni mgogoro mkubwa.
Bara bara zipo zinajifia.
Ajali hadi wananchi wameamua kutumia ushirikina kupunguza ajali
Tulia usiishie kugawa bajaji tatua changamoto zilizopo hapo Mbeya mjini.
Uganga umeshamiri kwenye akili za watu. Ndio maana wanawatumia machifuEti mbeya mjini Kuna machifu,chifu na maendeleo wapi na wapi shehe
Tulia hakuchaguliwa Sema wao waliamini wakimtangaza Tulia atatatua matatizo.....Wao waliamin kuwa wakimchagua tulia akson watatua matatizo lakin, lakin ukiangalia ni hali ya jiji hilo lilivyo wajuaji wengi ssna
Mbeya itakombolewa na wenye Uchungu nayo , Mamluki hawatasaidia kituNani atalitendea haki jiji hili ambalo kila siku linarudi nyuma badala ya kwenda mbele, wananchi wa jiji hili waliamini kwamba kumchagua Tulia kungeleta nafuu barabara zingejengwa ikiwepo hii barabara kubwa ya kuelekea Tunduma lakini wapi hali inazidi kuwa mbaya sana!
Kitu ambacho kinashangaza Tulia Aksoni hata yeye hajui afanye nini ametulia kama jina lake lilivyo anawaza uchaguzi tu lakini jiji linazidi kudorola.
Pale uhindini toka palivyoungua kile kisoko mpaka leo zaidi ya miaka 15 halmashauri ya jiji haijui ifanye nini!
Maji bado ni mgogoro mkubwa.
Bara bara zipo zinajifia.
Ajali hadi wananchi wameamua kutumia ushirikina kupunguza ajali
Tulia usiishie kugawa bajaji tatua changamoto zilizopo hapo Mbeya mjini.
Acha hzo tulia amewaletea barabata ya njia nne uyule Hadi mbaliziTulia Acson ame-underperform kuliko wabunge wote waliowahi kuiongoza Mbeya..