Jiji la Dodoma Leo jioni ktk picha

Jiji la Dodoma Leo jioni ktk picha

Full 8

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
313
Reaction score
272
Huu no mwonekano was Dom city (Barbara niliyopita)
1537883860708.jpeg
 
Ulikuwa unatokea dom sec, stand ya zamani au nyerere skwea?
 
Hiyo barabara inapitisha maji ya mvua au ni ule mchanga wetu pendwa?? Kweli tupo mbali. Ulinganishe hilo jengo na miundombinu iliyolizunguka tu. Dha!
 
Huu ushamba kweli. Jengo
Moja ndio jiji? Na vumbi kibao
Mkuu kuna majengo mengi mazuri katika njia hii, kuna BoT, hazina, Takwimu house n.k. sema online upload imeniangusha next time.
 
Back
Top Bottom