A Amanikwenu Senior Member Dec 1, 2009 187 0 Dec 14, 2010 #1 Kuna taarifa kuwa Jiji la Dar es Salaam litapata TUZO MAALUM hivi karibuni kwa Kuwa JIJI CHAFU ZAIDI DUNIANI. Furaha Iliyoje.....
Kuna taarifa kuwa Jiji la Dar es Salaam litapata TUZO MAALUM hivi karibuni kwa Kuwa JIJI CHAFU ZAIDI DUNIANI. Furaha Iliyoje.....
M matambo JF-Expert Member May 14, 2009 727 117 Dec 14, 2010 #2 thibitisha kuwa ni chafu kuliko yote au wapenda tu kujaza posts?
MAMA POROJO JF-Expert Member Nov 22, 2007 4,974 785 Dec 14, 2010 #3 matambo said: thibitisha kuwa ni chafu kuliko yote au wapenda tu kujaza posts? Click to expand... Picha za Kikwete za uchaguzi zilizochakaa zimeachwa zimezagaa kila kona ya mitaa ya jiji
matambo said: thibitisha kuwa ni chafu kuliko yote au wapenda tu kujaza posts? Click to expand... Picha za Kikwete za uchaguzi zilizochakaa zimeachwa zimezagaa kila kona ya mitaa ya jiji
G geophysics JF-Expert Member Nov 1, 2010 904 166 Dec 14, 2010 #4 Hapa umeboa ndugu yangu....Si sehemu ya majungu hii
LoyalTzCitizen JF-Expert Member Sep 15, 2010 2,234 883 Dec 14, 2010 #5 Kweli ni chafu jamani! ukweli unauma ila sidhani ni ya kwanza kwa uchafu duniani!
A Amanikwenu Senior Member Dec 1, 2009 187 0 Dec 16, 2010 Thread starter #6 Ukweli ndiyo huo. Dar ni chafu kupita kiasi.
spencer JF-Expert Member Nov 25, 2010 3,599 3,220 Dec 16, 2010 #7 Ushafika Vichochoro vya Mumbai-INDIA?
Job K JF-Expert Member Oct 4, 2010 9,315 7,113 Dec 16, 2010 #8 Umeshatembela majiji mangapi bangusila wewe!! Acha uongo wako hapa. Kazi porojo tu ndo maana kazi wa-tz inatushinda mara ooh nairobi ni safi kuliko dar mara kampala mara sijui wapi vile mlishapita kwenye mitaa nyie? Acha uongo
Umeshatembela majiji mangapi bangusila wewe!! Acha uongo wako hapa. Kazi porojo tu ndo maana kazi wa-tz inatushinda mara ooh nairobi ni safi kuliko dar mara kampala mara sijui wapi vile mlishapita kwenye mitaa nyie? Acha uongo