Jiji la Dar es Salaam Kupata Tuzo Maalum

Amanikwenu

Senior Member
Dec 1, 2009
187
0
Kuna taarifa kuwa Jiji la Dar es Salaam litapata TUZO MAALUM hivi karibuni kwa Kuwa JIJI CHAFU ZAIDI DUNIANI. Furaha Iliyoje.....
 
Umeshatembela majiji mangapi bangusila wewe!! Acha uongo wako hapa. Kazi porojo tu ndo maana kazi wa-tz inatushinda mara ooh nairobi ni safi kuliko dar mara kampala mara sijui wapi vile mlishapita kwenye mitaa nyie? Acha uongo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom