Abdallah404
Member
- Feb 17, 2014
- 61
- 21
KITABU:JIINGIZIE KIPATO KUPITIA BLOG
Add caption
KARIBU USOME KITABU HIKI KITAKACHOKUWEZESHA KUJIINGIZIA KIPATO KUPITIA BLOG.Kujiingizia kipato kupitia Internet sio swala geni katika Ulimwengu huu wenye Maendeleo makubwa ya Sayansi na Teknolojia.INTERNET Imefungua Ukurasa mpya wa ajira kupitia Mtandao,inayomwezesha mtu kufanya kazi sehemu yoyote ile yenye kuwa na Mtandao wa Internet.Kuna njia nyingi unazoweza kutumia kujiingizia fedha kupitia INTERNET.
SWALI NA WASIWASI WALIONAO WATU NI,Je,inawezekana kweli kujiingizia kipato kupitia Internet?
Jibu ni.....
,NDIO.INAWEZEKANA KABISA KUJIINGIZIA KIPATO KUPITIA INTERNET TENA BILA YA SHAKA YOYOTE.
KIKWAZO KIKUBWA Ni JINSI GANI UNAWEZA KUJIINGIZIA KIPATO KUPITIA INTERNET. Kati ya njia nyingi unazoweza kuzitumia kujiingizia Kipato kupitia Internet, Blog Ndiyo njia rahisi ya kuweza kujiingizia kipato kupitia Internet,Kwa nini kwa sababu ,BLOG haihitaji ujuzi mkubwa ukilinganisha na Njia Nyingine.
Unachohitaji ni Kumiliki Blog na kuanza kuandika/kuweka makala na kuchagua njia gani unataka kuitumia kujiingizia kipato kupitia Blog yako,yote hayo utayapata kupitia Kitabu hiki.
NUFAIKA BLOG,Kwa kulifahamu hilo imeamua kuandaa kitabu hiki chenye kurasa 42, kitakachokupa mwongozo wa jinsi ya Kujiingizia kipato kupitia BLOG.
Kitabu kimeandikwa katika lugha ya kirafiki na inayoeleweka kwa urahisi,Hii ina mana hata mtu ambaye alikuwa hajui chochote kuhusu Blog ataweza kupata ufahamu wa kutosh a utakaomwezesha kuianza safari yake ya kujiingizia kipato kupitia Blog.
Vilevile kitabu kimetumia picha katika jinsi ya kutengeneza Blog ili kumfanya msomaji aelewe kiurahisi na kwa Haraka zaidi.
YALIYOMO NDANI YA KITABU HIKI.
1.Blog ni nini?
2.Majukwaa(Njia) unazoweza kuzitumia kutengeneza Blog(Blogger,Wordpress na MyWapBlog).
3.Jinsi ya Kutengeneza Blog.
4.Matumizi ya Blog
5.Njia za Uhakika za Kuitumia Blog yako kama chanzo cha Mapato.
6.Sifa ambazo ni lazima kila mmiliki wa Blog anatakiwa awe nazo.Kinyume na Hivyo unapoteza Muda wako.
7.Kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika Blog,Na SULUHISHO,nini Ufanye ili uweze kufanikiwa kupitia Blog.
8.Jisikie Una Bahati (Hii hutakiwi kuikosa)
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 5,000/= TU!
MALIPO YAFANYIKE KUPITIA
MPESA:0768 449 989 au
Tigopesa:0672 999 266.
Kisha tuma email yako Na Jina lako,
Utatumiwa kitabu chako punde tu baada ya kufanya Malipo.
TAHADHARI:,HAKIKISHA JINA(ABDALLAH HEMEDI) Kabla ya kutuma Fedha,Na tumia namba uliyotumia kutuma fedha,kutuma email yako.
Ukinunua kitabu utapatiwa na Code,Matumizi ya hizi code ni kwamba,Ikiwa litatokea tatizo lolote litakalopelekea kushindwa kuingia katika email yako/au kupoteza email yako,Utatumiwa tena kitabu bila malipo wakati wa kufanya Maamuzi kama utazikumbuka Code ulizopatiwa.
Fanya mawasiliano kabla hujatuma fedha.
Fedha itakayotumwa bila Maelekezo itarudishwa kwa Mhusika baada ya Siku Tatu.
TUMEKUSUDIA KUKUNUFAISHA.
KARIBU SANA NA ENDELEA KUNUFAIKA.
0678 449 989/0672 999 266.