Jiimarishe katika lengo moja tu

nitazoea

Senior Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
198
Reaction score
241
Habarini....
Ndugu wanajukwaa naomba kutoa wito,kama mtu umeamua kuwa mkulima wa zao fulani,zalisha kwa wingi ili jamii ikufahamu kupitia uzalishaji wako.Kama mtu kaamua kuwa mfugaji basi fuga kwa wingi na kitalaamu ili uweze kufahamika na jamii na kisha jipatie kipato....
TUJIFUNZE KUWA NA KUSUDI MOJA TU.
 
Wacha woga
 
Watu wengi hatuko focused Wala determined, tunaenda kama mazombie kwenye Kila tulifanyalo
 
""True Fact"" umeongea ukweli ambao wengi hawaujui mafanikio yanahitaji muda ujitoe kwa hali na mali ili uweze kula matunda ya kazi unayo ifanya


Mfano: umeamua ufanye kilimo cha michugwa basi unatakiwa uwe na A to Z ya kitu unacho kifanya ukiamini kitakupa mafanikio kutokana na utafiti uliofanya nk.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…