Wabongo kwa kufukunyua,😂😂🤦🏽♀🙌🏾Watanzania tunapelekaga wazee timu za taifa stars alafu tunalalamika kupoteza huko mbele
Sijaelewa hiyo kampeni ya jihan na mis grand hivi kweli kwa miaka zaidi ya 10 hakuna warembo hapo katikati??
au vigezo vya hiyo miss grand ni nini
Zile ni picha tu zilizopigwa kwa camera bora na very edited ila kiuhalisia kazi na umri
mtakuja kulaumu organizer baadae lakini shuhuli inaanzia ndani humu..
View attachment 3681276
trust meKama ana vigezo, umri ni namba tu.
Kati ya hao warembo kibao,na wewe umo pia?wako warembo kibao