Umeiacha platinum hii nilikuta jamaa wanaiongelea sehemu nikapuuza maana mimi sio mpenzi wa hayo makituMengine, wanajamii forum watajiongeza zaidi kwenye uzi.
Mwambie ndio ujauzito huo ila asitoe mimbantampelekea pole, zishamfikia π
Pole sana kwa kutapeliwa mpaka ukafikishwa kitandani naa bado ukatapeliwaAsante kwa kunijulisha mapema maana mimi kwa kutapeliwa ππΌπ
Kuna huyu pia kanitapeli 15000 anatangaza instagram kwamba anaOFA ya weekend gb64 kwa pesa hiyoHabari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa
1. Hakikisha ana kutumia huduma kwanza. Hii huwa wanabisha sana
2. Sikiliza kauli za mtoa huduma. Wale spiritualist wanakuambia watu wana low vibration basi wanamakasiriko pro max.
3. Bidhaa ikionekana cheap, ujue kuna shida automatically
Mengine, wanajamii forum watajiongeza zaidi kwenye uzi.
Hahaha! Humu kuna wanasaijolojia. Pole wewe uliyetapeliwa. Asante kwa kututahadharishantampelekea pole, zishamfikia π
Hakuna cha rafiki, ni wewe kitonga kimekutokea puani. Jikaze.kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana
Na wanatunyoosha sana kiukweliwapo majobless wameamua kujiongeza. Hali imekuwa ngumu ya maisha