My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Ukisema ahsante inaonekana taarifa ni kweli, Tuwaache kwanza wapoteze pesa zao kwanza, Tatizo watu wanataka mkato wanalala wanaota Biko, Sasa hii Forex walijua ni kuvuna tuAhsante kwa taarifa mkuu
Ahsante kwa taarifa, inajumuisha kila aina ya Taarifa kwa wakati husika ambayo ulikuwa huijui.Ukisema ahsante inaonekana taarifa ni kweli, Tuwaache kwanza wapoteze pesa zao kwanza, Tatizo watu wanataka mkato wanalala wanaota Biko, Sasa hii Forex walijua ni kuvuna tu
Watu iliwapasa waangalie lengo kuu kwanza la forex halafu wangejiuliza what if Will go wrong
Sasa naona wengi wamepoteza pesa wanafanya Crisis management
Mkuu, maswali yako ni mazuri ila nitayajibu kwa summary, jpmarkets ni Broker anayejitahidi Sana kukufyonza mtaji wako badala ya kukusaidia usonge mbele, ma broker wazuri wapo wengi Sana mfano Tradeo ukitaka kujua ubaya au uzuri wa broker, nenda google andika "what people talk about........ "mbele ya about andika jina la broker na utapata ukweli wote.My Son drink water kuna swali nilikuuliza kwenye uzi wako wa mwisho ukalichunia!!
Je ni kwanini unasema JP markets ni broker wa hovyo?
Je nikitaka kujua broker ambaye sio wa hovyo nitajuaje?
Je unaweza nitajia walau broker mmoja unayemjua ambaye sio wa hovyo (na utaje na sababu za kumtaja)?
Mkuu tuko hapa kwa ajili ya kujifunza, na mimi naomba unieleweshe nijue!!Mkuu, maswali yako ni mazuri ila nitayajibu kwa summary, jpmarkets ni Broker anayejitahidi Sana kukufyonza mtaji wako badala ya kukusaidia usonge mbele, ma broker wazuri wapo wengi Sana mfano Tradeo ukitaka kujua ubaya au uzuri wa broker, nenda google andika "what people talk about........ "mbele ya about andika jina la broker na utapata ukweli wote.
If you are a good trader you will make money even with a bad broker.Mkuu tuko hapa kwa ajili ya kujifunza, na mimi naomba unieleweshe nijue!!
Hapo hamna swali ulilojibu zaidi ya swali la mwisho ambalo pia umeligusa tu na hujajibu lote!! Umesema jp market anajitahidi kufyonza ela za watu bila kuelezea kivipi!!
Maswali yangu ni haya...
Je ni kwanini unasema JP markets ni broker wa hovyo? (naomba sababu)
Je nikitaka kujua broker ambaye sio wa hovyo nitajuaje?
Je unaweza nitajia walau broker mmoja unayemjua ambaye sio wa hovyo (na utaje na sababu za kumtaja)?
Je unaweza nitofautishia kati ya ECN/STP na Market maker broker?
NB: Kama huna muda wa kujibu maswali yote kwa ufasaha ni vyema ukayajibu ukiwa muda, majibu ya "summary" hayata tusadia kujifunza!!!
Karibu!
Nimekujibu kwa ufasaha Sana, na nikakupa na mbinu ya kuwajua ma Broker wazuri na wabaya, zaidi ya hapo sina jibu, siwezi kutoa maelezo ya kina ya uzuri na ubaya wa kila Broker, nimekupa mbinu rahisi ya kwenda google ili umjue Broker yeyote unayetaka, huko google utakutana na traders mbalimbali kutoka nchi tofauti duniani ambao watakata kiu yako lakini bado unadai sijakujibu, anyway stick at your own standMkuu tuko hapa kwa ajili ya kujifunza, na mimi naomba unieleweshe nijue!!
Hapo hamna swali ulilojibu zaidi ya swali la mwisho ambalo pia umeligusa tu na hujajibu lote!! Umesema jp market anajitahidi kufyonza ela za watu bila kuelezea kivipi!!
Maswali yangu ni haya...
Je ni kwanini unasema JP markets ni broker wa hovyo? (naomba sababu)
Je nikitaka kujua broker ambaye sio wa hovyo nitajuaje?
Je unaweza nitajia walau broker mmoja unayemjua ambaye sio wa hovyo (na utaje na sababu za kumtaja)?
Je unaweza nitofautishia kati ya ECN/STP na Market maker broker?
NB: Kama huna muda wa kujibu maswali yote kwa ufasaha ni vyema ukayajibu ukiwa muda, majibu ya "summary" hayata tusadia kujifunza!!!
Karibu!
Nimekupata mkuu, hata mimi nimecheki huyo uliyemtaja kwamba ni mzuri naona na yeye ana review mbaya tu! sasa hapo unatushaurije?Nimekujibu kwa ufasaha Sana, na nikakupa na mbinu ya kuwajua ma Broker wazuri na wabaya, zaidi ya hapo sina jibu, siwezi kutoa maelezo ya kina ya uzuri na ubaya wa kila Broker, nimekupa mbinu rahisi ya kwenda google ili umjue Broker yeyote unayetaka, huko google utakutana na traders mbalimbali kutoka nchi tofauti duniani ambao watakata kiu yako lakini bado unadai sijakujibu, anyway stick at your own stand