SAM BILGATE
Member
- Feb 11, 2013
- 28
- 6
Wana jamvi habarini za mihangaiko ya kila siku!
Napenda kuwatahadharisha wale waliofanya aptitude test ya Mwanza Community Bank (MCB) kwa ajili ya kupata watu 20 watakaoenda kupata training, hawa jamaa ni MATAPELI na nikiwa kama mmojawapo wa waliofanya ile test, nimetumiwa msg leo asubuhi kutoka kwa mtu anaejiita Mwesiga Pius simu no. 0764171699 kama inavyoonekana:
''Za asubuhi/wiki hii/ kesho naanza sorting ya aptitude test zenu, nimeona test sheet yako, tusaidiane kitu, Unaweza kunitumia laki 3 kufikia kesho,then nakupitisha kuingia kwa orodha bila wasiwasi,then utanipa laki 1nyingine ukiwa training bt hili ni suala langu n WW tu, Unasemaje? Mwesiga Pius.
sasa tapeli ni mwesiga au MCB? kwanza unajuaje huyo jamaa anafanya kazi MCB?
jamaa ndie assistance recrutment officer wa mcb kama tangazo la ajira lilivyo semasasa tapeli ni mwesiga au MCB? kwanza unajuaje huyo jamaa anafanya kazi MCB?
Kuwa makini,MCB kupitia huyo Pius na matapelikapata wai namba ya simu ya mshikaji? kajuaje kama jamaa kfanya test hapo? lazima jamaa ana connection na hao mcb.
Kuwa makini,MCB kupitia huyo Pius na matapeli
nimefika ofisi za mwanza comunity bank hapa mwanza hakuna cha tangazo la kazi wala cha QUALITY SERVICE GROUP hata ukitafuta kwenye internet hakuna recruitment group hapa tanzania inayoitwa quality sevice group hawa ni wezi tu,
nashangaa kwa nini MCB wamekaa kimya kwa hili suala mpaka sisi wadau tunapata wasiwasi na mstakabali wa hiyo benki kama watakuwa makini na fedha za wadau