TRA bana badala ya kumkamata kumpa haja ya moyo wake mnatangaza! kwan kuna matapeli wangapi jaman mpaka mhangaike na mtu mmoja! kamateni mtoeni meno ya mbele ili ikiwa anaongea haeleweki maneno yake bas
Waseme tu huyu ni kweli mfanyakazi wa Tiaraeiii wamemfukuza au kumsimamisha kazi, kwahyo hawataki tena ahusike na ukasanyaji kodi. Maana hawa jamaa wanapewa watu wa kudeal nao kipindi cha kazi. Sasa kaacha wanataka aache asisogelee wateja wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.