Jifunzeni kutoka kwangu

Mtoa mada wewe pia Ni chizi a.k.a zombie a.k.a zuzu mstaafu.
 
Mkuu!mleta nada!!pole!!nikuambie Tu!!MUNGU kakuonyesha live huyo hafai!!usikumbatie Matatizo!! Mwambie atafute mtoro mwenzake!!!natamani nimzabe makofi huyo demu wako !!sema Basi tu!!!
 
Mkuu!mleta nada!!pole!!nikuambie Tu!!MUNGU kakuonyesha live huyo hafai!!usikumbatie Matatizo!! Mwambie atafute mtoro mwenzake!!!natamani nimzabe makofi huyo demu wako !!sema Basi tu!!!
Asante sana mkuu
 
Wanawake ni pasua kichwa, akili zao hazina tofauti na paka. Wana mambo ya ajabu sana
 
Siyo ujinga kuwa msiri kwa baadhi ya mambo kwa mwanamke, yani unaruhusu kabisa mwanamke aijue password yako??
 

Kabla ya next episode jua tu ushapigwa na kitu kizito kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…