JIFUNZEE FOREX...UPIGE PESAA...

JIFUNZEE FOREX...UPIGE PESAA...

micky 00

Member
Joined
Apr 24, 2017
Posts
98
Reaction score
98
hasa kama unasubiri ajiraa achana nayo ..tumi mieziii sita ivii usomee mambo yaku exchangee....pesaah ..kupitiaah phone yako ...ukiwa vzr tuu ..kwa mwezii unauwezooh wakuingizaa more 1 m...ukisomaa vzr .kwa mimi napiga pesaa kwa wiki naweza nikapiga 2lakiii ...asa ajira ya nin apo ...changamkiaa fursaa vijanaa but Is Not easy...inabidii ujitoeeh
 
Nimesikia sana kuhusu forex naomba 2wasiliane naomba uni2mie zako zako kweny email yangu johhenry15@gmail.com 2wasiliane zaid tafadhal
 
Miezi sita wapi wewe mwambie asome online Google search www.babypips.com akimaliza a download kitabu kinaitwa candlestick bible by muhenisa akimaliza a download kitabu kinaitwa naked forex ,only two months atakua ameelewa
 
Haya mambo ya
Yamejadiriwa sana humu na msipende kuongelea faida. Muwe mnajadiri na hasara zake
 
Alafu hili ni la kwenye jukwaa la Biashara na lishaandikwa mara kibao na elimu tosha ipo kule.so modes should delete this post here.
 
Kwenye Kamali useme kweli tu mkuu, unaweza kupiga mamilioni pia unaweza kupoteza matrilioni na kubaki na madeni, kupata ugonjwa wa moyo na kuwa fukara.., in short sishauri mtu yoyote hii, its a risky endeavor na ukifanya daily 365 day a year lazima mwisho wa siku utapigwa tu
 
Kuna mtu humu anaitwa ontario alikuja kama wew mkuu, watu wakajitupa kwenye huo mchezo kichwa kichwa wakijua ni kwenda kudownload pesa, waliishia kuunguza account na kuanzisha uzii kuwa ontario kawatapeli, kiukweli walikuwa wavivu wa kusoma vitabu na makala mbalimbali ya hii biashara, kwa mentor na broker wao ndo walizinguana

Hakuna mtu atamsahau ontario, ye ndo mwanzilish wa hii kitu humu jf na kuwafumbua macho TMT na CEO wao waliishia kuitwa matapeli,

Note, forex ipo na ukienda pole pole usipoweka tamaa mbele unapiga pesa, mwenyewe huu mwez wa nne naifatilia, nafuatilia sana watu waliofilisika kwa sababu ya hii kitu, afuu najiongeza mwenyewe, uzur kuna demo acount, cent na standard, saiz napambana na demo kwanza, huku nafuatilia makala mbalimbali za watu waliofanikiwa na kufel, mpaka ntakapokuwa nondoo hasa ndo nita anza rasimi, nadhan baada ya mwaka ivii
 
ONTARIO IS BACK...
 
videos gani UTUBE kwa kjifunza hii forex?? mi huwa nakula vitabu tu
 
Miezi sita wapi wewe mwambie asome online Google search www.babypips.com akimaliza a download kitabu kinaitwa candlestick bible by muhenisa akimaliza a download kitabu kinaitwa naked forex ,only two months atakua ameelewa
kila mtu na uwezo wake wakuelewa kwa mim nilitumia miez sitaa nikawa freshii ..
 
Haya mambo ya
Yamejadiriwa sana humu na msipende kuongelea faida. Muwe mnajadiri na hasara zake
hasara muhimu ..kila biashar vitu ivyo hutokeaa ko ..ni wewe tu ku pigana navyo ..ko ukiamua inabidi ukubaliane navyo kupata na kukosa
 
kila mtu na uwezo wake wakuelewa kwa mim nilitumia miez sitaa nikawa freshii ..
Sawa labda ulikuwa na kazi nyingine ila me nimeaoma nikiwa free ndani ya hii likizo ya form six leavers ..check demo trades nayofanya hapo chini.. Next month naanza live trading.
Screenshot_2018-09-18-20-18-14.jpg
 
Alafu hili ni la kwenye jukwaa la Biashara na lishaandikwa mara kibao na elimu tosha ipo kule.so modes should delete this post here.
kama wewe huoni ina muhimu achana nayo ..kuna mtu anaweza akafunguka kuhusu hii ishuu ..ko achaa izoo mamboo jombaa
 
Kwenye Kamali useme kweli tu mkuu, unaweza kupiga mamilioni pia unaweza kupoteza matrilioni na kubaki na madeni, kupata ugonjwa wa moyo na kuwa fukara.., in short sishauri mtu yoyote hii, its a risky endeavor na ukifanya daily 365 day a year lazima mwisho wa siku utapigwa tu
hii ishu sio kamali ..sio kama m bet ..yaan hii uwelewa wako ndo unakufanya kupiga pesa hamna mambo yaku bashiri kwenye forex ..ni akili tuu zinatumika
 
Kuna mtu humu anaitwa ontario alikuja kama wew mkuu, watu wakajitupa kwenye huo mchezo kichwa kichwa wakijua ni kwenda kudownload pesa, waliishia kuunguza account na kuanzisha uzii kuwa ontario kawatapeli, kiukweli walikuwa wavivu wa kusoma vitabu na makala mbalimbali ya hii biashara, kwa mentor na broker wao ndo walizinguana

Hakuna mtu atamsahau ontario, ye ndo mwanzilish wa hii kitu humu jf na kuwafumbua macho TMT na CEO wao waliishia kuitwa matapeli,

Note, forex ipo na ukienda pole pole usipoweka tamaa mbele unapiga pesa, mwenyewe huu mwez wa nne naifatilia, nafuatilia sana watu waliofilisika kwa sababu ya hii kitu, afuu najiongeza mwenyewe, uzur kuna demo acount, cent na standard, saiz napambana na demo kwanza, huku nafuatilia makala mbalimbali za watu waliofanikiwa na kufel, mpaka ntakapokuwa nondoo hasa ndo nita anza rasimi, nadhan baada ya mwaka ivii
mim sifundishi kuhusu hii ishu but nillikuwa nawapa mwangaza watu ambao walikuwa hawajuii
 
Back
Top Bottom