Jifunze ushirikina hapa

Owkey, ahsante mkuu, nimekuelewa sana.
 
Du mshana hii mambo huwa unajifunza wapi sasa wewe si unaweza kuwaona wachawi kabisa wakifanya mambo yao
 
Hii elimu ni ngumu maana tunakaa na waganga ipo Siku watakuumbua, kumbe ulikuwa unajifunza kwa nia njema kuweni makini munaohitaji cd za kichawi. utajikuta unaambiwa uwe unaamuka saa 8 za usiku kwanini watu wasikuone wewe mchawi, elimu za kujitesa mwanzo mpaka mwisho ni practical .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…