mushijcob
Senior Member
- May 20, 2015
- 104
- 69
Katika ulimwengu wa sasa matumizi ya internet yamekua makubwa sana kwa hapa Tanzania tu inakadiriwa kua na watumiaji wa Internet zaidi ya milioni 10. Wewe mjasiriamali unalichukuliaje hili? Hili ni soko kubwa sana maana kwako wewe na mimi ni fursa ya kuweza kufikisha bidhaa au huduma tunayotoa popote pale.
Vile vile ni fursa ya kupanua wigo wa biashara zetu.
Wewe mjasiriamali uchukue hatua gani sasa? Unahitaji tovuti ambayo wale unaowakusudia watakwenda hapo waone kile unachotoa. Unakua na tovuti? Kuna tovuti ndogo inaitwa blog tovuti hii ni bure kabisa kua nayo haihitaji kulipiwa ili iwe hewani,
Blog ni tovuti ambayo utaitumia kuandika na kuonyesha kile unachokizalisha bidhaa au huduma.
Kwa sasa tuna watumiaji wengi wapo kwenye mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter unachotakiwa hapa pia ni wewe kua na kurasa za biashara au huduma yako kwenye mitandao hii ili uweze kupata watembeleaji wa blog yako,
Kikawaida haiwezekani ukaanza leo na wateja ukapata siku hiyo hiyo inahitaji uvumilivu ili kujenga imani kati yako wewe na wateja wako hapo ndipo utakapoona matunda yake.
Karibu sana tutumie fursa hii.
Kutengenezewa blog ni gharama kidogo Sana unalipa kisha unatengenezewa. Nitafute kwa mawasiliano zaidi
0654726668 jcobtz@gmail.com
Asante sana na Karibu.