Ngumu sana hasa wale Wabeba Mabitch ( mitutu ) kwenda kuuwa wenzao wasio na hatia baaadae wanakuja kujua walitumika na wakati ule walipuuza sauti za waliolia kwa uchungu wakipogania uhai wao.
Veterans wanakufa kimya kimya PTSD ( wanadai watu wa shule )
Zile sauti aaah seeeh.