Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

Please find the attached documents for HSK2-4
 

Attachments

  • HSK 2- vocabulary list.pdf
    250.6 KB · Views: 21
  • HSK-3-Vocabulary-list.pdf
    519.7 KB · Views: 19
  • DigMandarin-Grammar-Lesson-Hui-and-Neng.pdf
    142.2 KB · Views: 13
  • DigMandarin-Grammar-Lesson-Hui-and-Neng.pdf
    142.2 KB · Views: 15
Natamani sana kufahamu kuongea na kuandika kichina, kazi nyingi hapa nchini kwetu zinashikiliwa na wachina. Nafikiri nikifahamu kuongea na kuandika nitaweza kufanya nao kazi vizuri kuliko kutegemea kingereza tu.
 
Natamani sana kufahamu kuongea na kuandika kichina, kazi nyingi hapa nchini kwetu zinashikiliwa na wachina. Nafikiri nikifahamu kuongea na kuandika nitaweza kufanya nao kazi vizuri kuliko kutegemea kingereza tu.
yeah kujifunza kichina ni jambo la msingi sana
 
leo tutajifunza siku za wiki

Siku za wikixīng qī zhòng de tiān 星期中的天

Jumatatuzhōu yī 周一

Jumannezhōu èr 周二

Jumatanozhōu sān 周三

Alhamisizhōu sì 周四

Ijumaazhōu wŭ 周五

Jumamosizhōu liù 周六

Jumapilizhōu rì 周日

Sikutiān 天

Wikizhōu 周

Wikendizhōu mò 周末

Frank,B
Mwalimu wa lugha ya kichina
tryphonefrank@gmail.com
0718632536
 
猫 您 臭 tafsiri hii kama unakijua
猫您臭. Unorganised sentence missing link words.
Mao~猫 means cat/ paka
Nin 您 used for respected person/courtesy au muheshimiwa
Chou 臭 hili neno lipo HSK 5 au 4 mean adour or smell.
那个猫的白色在上椅子它是你的吗?。That white cat on the chair is it yours? This is transcreation not translation
 
Leo tutajifunza majina ya wanyama wanaofugwa majumbani.

Wanyama
dòng wù 动物

Sungura
tù zi 兔子

Kuku
mŭ jī 母鸡

Jogoo
gōng jī 公鸡

Farasi
mǎ 马

Kifaranga
xiăo jī 小鸡

Nguruwe
zhū 猪

Ng'ombe
niú 牛

Kondoo
mián yáng 绵羊

Mbuzi
shān yáng 山羊

Lama
měi zhōu tuó 美洲驼

Punda
l锟斤拷 驴

Ngamia
luò tuó 骆驼

Nyau
māo 猫

Mbwa
gǒu 狗

Kipanya
lăo shŭ 老鼠

Chura
qīng wā 青蛙

Panya
lǎo shǔ 老鼠

Frank, B.
Mwalimu wa lugha ya kichina
0764531080

Kwa wale mnaotaka kujifunza kichina mnaweza kujiandikisha kupitia info@fmzixun.co.tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom