Hawa jamaa wameadvance sana na ile project Hummingbird yao!..
Hivi unajua google ni hatari kwa usalama wa dunia, wale jamaa wanajua kila kitu kukuhusu mpaka afya yako!
Hummingbird ni algorithms inayotumika na google kukusaidia unaposearch vitu ikuletee kwa uhakika kile ulichotafuta. Chukulia ulisearch samsung basi na yenyewe kwa kutumia history ya search zako ina determine wewe ni mpenzi wa samsung zipi.hiyo ya Huminbird ndio naisikia kwako leo labda unielezee
inaonyesha nawe mkuu ni mfuasi wa dini 010101010 au nimekosea??Hummingbird ni algorithms inayotumika na google kukusaidia unaposearch vitu ikuletee kwa uhakika kile ulichotafuta. Chukulia ulisearch samsung basi na yenyewe kwa kutumia history ya search zako ina determine wewe ni mpenzi wa samsung zipi.
Hebu ingia ukajisomee kidogo maelezo kuielezea ni ngumu kidogo
Sciencetology? or meaning what?.
Hiyo akili na utaalam inatokana na ahadi ya Mungu kwa Ibrahimu.Ni sahihi putin kusema kua yeye hua hatumii internet, yaani kweli kabisa mkuu Google inatujua vizuri zaidi yawezekana kuliko hata mama zetu.. naona kkupitia hiyo opportunity ya mtu kuwa disclosed developer wakaleta search engine ya https://duckduckgo.com/ ambayo kiasi fulani inaondoa taarifa za mteja alizosachi.How to find out what Google knows about you and limit the data it collects
CNBC shows you how to discover the personal information Google knows about you, and how to limit that data if you don't want Google storing it.www.cnbc.com
Google kweli wame advance kinoma sijui wanampango gani nasi... \
hiyo ya Huminbird ndio naisikia kwako leo labda unielezee
Mbona simple tu mkuu?au labda sijamuelewa mdau hapo juu ila mimi huwa nai-hold pic husika inaniletea kama hivi namaliza kaziASANTE MKUU MIMI HUISHIA KU-SCREENSHOT NA KU-CROP
Hapo nahisi labda hiyo Binary Numbers kidogo. Ila me naamini katika hikikipi kati ya hivyo viwili u muumini wake?
- Namaanisha mambo ya Binary system
- namaanisha kitu kinachoitwa namba ya malaika.. https://angelnumber.org/0101-angel-number-meaning-and-symbolism/