Napenda kutambulisha kwenu app inayoitwa "Appetite" ambayo inakupa uwezo wa kuandika recipe zako (maelekezo ya mapishi) na kushare na watumiaji wengine wa app hii.
Kuna features nyingi ambazo tunaendelea kuongeza zitakazofanya app iwe na matumizi mengi zaidi ya hili la mapishi.