panamo
Member
- Nov 25, 2016
- 64
- 58
Hapa nitakuwa nashare idea, jinsi ambavyo unaweza kutengeneza beat kwa njia rahisi kabisa katika tempo za juu kuanzia 180 - 270 (BPM) kwa kutumia FL Studio, hapa nimetumia Nexus plugin, pamoja na Drums toka kwa Kanye west, lex na Alchemist lakini nimezifanyia layering, yaani nimepandanisha drums samples zaidi ya moja, na kuzifanyia simple tweaking tu ili zi hiti bila kuingiliana.
Hii tutorial ni nzuri hasa kwa mtu anaejifunza kuunda beat,.
kwa atakaehitaji expansion pack atanipa email, nitamtumia mapema sana.
N:B
Bass device ni muhimu, inaweza kuwa headphones n.k
Hii tutorial ni nzuri hasa kwa mtu anaejifunza kuunda beat,.
kwa atakaehitaji expansion pack atanipa email, nitamtumia mapema sana.
N:B
Bass device ni muhimu, inaweza kuwa headphones n.k