Zero Competition
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 347
- 556
Na isijekua we ndo muumizaji tehHmmm...ID mpya....
Maumivu ya mapenzi!
Na isijekua we ndo muumizaji teh
Ila serious kuacha na kuachwa hii ngoma ni moto.
Mi nawashaur. Ukiona Demu wako kaanza kubadilika,Kiasi kwamba anakuonyesha dalili za kua na mwingine , PIGA CHINI MAPEMA SANA .
TIMING ndio inaamuaga maumivu .... Ukimwacha demu ambaye alikua keshaanza kukuzengua sababu anamshikaji,..Huja Kuumia mwenyewe .
Ila ukisubiri mpaka akuambie "Kuanzia leo sikutaki"[emoji23][emoji23]Bro kamba ileee....alafu dems wana akili kinyama, Anaweza kua anakukubali lkn akakuanza yeye kukuambia "muachane", maana anajua ukimuanza ww basi yeye ataumia sanaa.
Saizi ni kusoma ALAMA ZA NYAKATI tuu mazee.
Ndo ivo mkuu, ukizubaa kwa heriNyakati za mashaka
Eh zipo za kumwaga... Unataka unnunulie?[emoji39]We Muree wewe....isije kuwa ushalewa bia!
Hivi Balimi zinauzwa huko?
Hahahahaha vi wooooonderIla serious kuacha na kuachwa hii ngoma ni moto.
Mi nawashaur. Ukiona Demu wako kaanza kubadilika,Kiasi kwamba anakuonyesha dalili za kua na mwingine , PIGA CHINI MAPEMA SANA .
TIMING ndio inaamuaga maumivu .... Ukimwacha demu ambaye alikua keshaanza kukuzengua sababu anamshikaji,..Huja Kuumia mwenyewe .
Ila ukisubiri mpaka akuambie "Kuanzia leo sikutaki"[emoji23][emoji23]Bro kamba ileee....alafu dems wana akili kinyama, Anaweza kua anakukubali lkn akakuanza yeye kukuambia "muachane", maana anajua ukimuanza ww basi yeye ataumia sanaa.
Saizi ni kusoma ALAMA ZA NYAKATI tuu mazee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna namna chiefHahahahaha vi wooooonder
Eh zipo za kumwaga... Unataka unnunulie?[emoji39]
Yeeey am waiting[emoji39]Yeah....nadhani ntakununulia tena.
Ngoja nisikilizie ile ishu hadi mwisho mwa wiki hii tuone.