Kweli we jamaa mbishiTatizo utakuta kuna mwanamke anakupenda na yuko tayari kufa juu yako lakini wewe hauna mapenzi naye kama akupendavyo. Utajitahidi kutompigia simu au kutomuona, utashangaa siku ya siku anakupigia simu anataka kujuwa uko wapi na unafanya nini, huku akikulaumu mbona haumtafuti. Mimi ilinikuta hii, kuna mdada alitaka nimgegede akidai ana miaka miwili hajasuguliwa, kwa huruma wangu nikampoza kwa kumpa raha ya mbinguni.
Cha kushangaza, yeye akawa anawaambia wenzake mtaani kuwa mimi ni mtu wake wakati si kweli, mimi sikuwa na sijawahi kumpenda yule demu hata kidogo na hatuendani hata kidogo. Hapa najuta kwanini nilimpa uroda yule mdada, yaani sina hata chembe moja ndani ya moyo wangu inayompenda yeye, nashangaa sasa hivi yuko anawaambia wenzake kuwa mimi mshenzi, mwanamke feki, sina issue. Kwenye Instagram yake aachi kubandika status za kijinga kuwa alimpenda mtu na kuchezewa, niligundua hili baada ya yeye mwenyewe kuniambia nicheki status yake.
Kuna wanawake wajinga sana, unapenda mtu asiyekupenda kweli kisha unajichanganya akili?
Usiwe unamwambia kila saa nakupenda baby, i love you so much, nakupenda ujue... Ah achana na swaga hizo hapo ndipo anapoku overtake, kupenda sio kubaya ila kupenda kupitiliza ndiyo mbaya utachezewa mibuyu hapo utajiona umerogwa, halafu mapenzi yalivyo sasa yanakupotezea directions kabisa mapenzi ni madawa ya kulevya ukiyaendekeza yana kufyatuaNipo kwenye hali kama hii nahitaj ushaur nahis kabisa dem wang yuko na mshkaj mwingine maana Jana kuna msela kaniambia uyo mshkaj kawatambulish kuw ndo shemej yao nimemuuliz kakataa kata kata ananiambia inamaana huniamini kiukweli nampend Sana tu Ila nahisi hanipnd kama ninavy mpend nilish jikaza nikamkazia siku mbili cjamtafuta akaja kunifwata unadhan niliwez kujizuia hisia zang ss nilijikuta tu nimemkumbatia cjui nifanyaje yaan dah ninawakat mgum mno
[emoji23][emoji23]Bila kumlogaa?? Noooo
Amka hapo umelala sana usingizi.. Mapenzi yalikua enzi za wakina bibi kidude siku hizi hakuna kitu we utalia weee yeye pembeni anafurahi usimuonyeshe machozi yako hayamstahiliNdio mkuu hujakosea kbs
Movies zitakusaidia nini? kumsahau ama tafuta roho ya paka, njia ngumu ndiyo njia ya mafanikioAsant mkuu kwa ushaur kizur kwa hapa kazin nina PC nitajitahid kuw busy na movies
Ukilegeza inakua kazi sana na inakula kwako, ila kama umemfumania usifuge kanyaga pita hivi,Kuachana na mtu uliyekaa nae muda mrefu ni kazi sana
Mwanamke feki?Tatizo utakuta kuna mwanamke anakupenda na yuko tayari kufa juu yako lakini wewe hauna mapenzi naye kama akupendavyo. Utajitahidi kutompigia simu au kutomuona, utashangaa siku ya siku anakupigia simu anataka kujuwa uko wapi na unafanya nini, huku akikulaumu mbona haumtafuti. Mimi ilinikuta hii, kuna mdada alitaka nimgegede akidai ana miaka miwili hajasuguliwa, kwa huruma wangu nikampoza kwa kumpa raha ya mbinguni.
Cha kushangaza, yeye akawa anawaambia wenzake mtaani kuwa mimi ni mtu wake wakati si kweli, mimi sikuwa na sijawahi kumpenda yule demu hata kidogo na hatuendani hata kidogo. Hapa najuta kwanini nilimpa uroda yule mdada, yaani sina hata chembe moja ndani ya moyo wangu inayompenda yeye, nashangaa sasa hivi yuko anawaambia wenzake kuwa mimi mshenzi, mwanamke feki, sina issue. Kwenye Instagram yake aachi kubandika status za kijinga kuwa alimpenda mtu na kuchezewa, niligundua hili baada ya yeye mwenyewe kuniambia nicheki status yake.
Kuna wanawake wajinga sana, unapenda mtu asiyekupenda kweli kisha unajichanganya akili?
Na kwenye harusi yake lazima nikakate umeme hahaha[emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]Na kwenye harusi yake lazima nikakate umeme hahaha
Kosa ni kupingana na amri hii "Mpende jirani yako kama nafsi yako". Sasa badala ya kumpenda jirani kama nafsi yako kama ilivyoamriwa unakuta mtu anampenda jirani kuliko nafsi yake. Hapo ndio majanga huanziaHujawahi kuachwa ghafla bila kujipanga,sio kitu cha masihara
Ni kweli unakuta mtu unampigia simu anapokelea kitufe chekundu badala ya cha kijani. Tena sio mara moja.Hakunaga kuachwa ghafla ww mwenyewe kuna sign utaanza kuziona mapema kabla ya kuacha
Utamu unaoshusha hadhi ya utu wako ndio utamu gani huo?Yaan acha tu kuna watu watamu sana kuwaacha ni ngumu mno
Usizuzuke na "pipi jojo" utaoza menoYaan acha tu kuna watu watamu sana kuwaacha ni ngumu mno
Tatizo utakuta kuna mwanamke anakupenda na yuko tayari kufa juu yako lakini wewe hauna mapenzi naye kama akupendavyo. Utajitahidi kutompigia simu au kutomuona, utashangaa siku ya siku anakupigia simu anataka kujuwa uko wapi na unafanya nini, huku akikulaumu mbona haumtafuti. Mimi ilinikuta hii, kuna mdada alitaka nimgegede akidai ana miaka miwili hajasuguliwa, kwa huruma wangu nikampoza kwa kumpa raha ya mbinguni.
Cha kushangaza, yeye akawa anawaambia wenzake mtaani kuwa mimi ni mtu wake wakati si kweli, mimi sikuwa na sijawahi kumpenda yule demu hata kidogo na hatuendani hata kidogo. Hapa najuta kwanini nilimpa uroda yule mdada, yaani sina hata chembe moja ndani ya moyo wangu inayompenda yeye, nashangaa sasa hivi yuko anawaambia wenzake kuwa mimi mshenzi, mwanamke feki, sina issue. Kwenye Instagram yake aachi kubandika status za kijinga kuwa alimpenda mtu na kuchezewa, niligundua hili baada ya yeye mwenyewe kuniambia nicheki status yake.
Kuna wanawake wajinga sana, unapenda mtu asiyekupenda kweli kisha unajichanganya akili?
Ndioo...sasa ulitegemea nilivyo acha pombe niwe nanii??[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mchawi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yep🤬
Ni kweli ila silalagi na demu nisiyempenda bila kinga....na kama ulivyosema, huyu demu ana dalili zote za kuwa mpulizaji unga kwa ndoa za Watu, yaani sikuwahi mkubali hata kidogo, hata nilipomla uroda nilisikitika sana kwanini nilifanya vile. Naona kama ana majini machafu mwilini mwake.Hongera kwa kujitambua walau umeonesha msimamo fulani.
Sema umekosea ulivyokubali kumla,
Tena una bahati si ajabu angekutegeshea mimba au kukuchomekea ya Mwanaume mwingine.
Halafu ukijenga mazoea naye anakuchukua inputs nakwambia huchomoki!
Kama ni ndoa yako itaingia misukosuko isoisha na pengine kuachana.