Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,659
- 19,376
Shadeeya umenikumbusha msemo mmoja wa wahenga wa kizungu ambao tafsiri yake inasema hivi;Kweli kabisa Ses. Kama hicho kidot cha tano hapo. Nimekicopy hapo chini.
"MUACHE AENDE !
• Usikasirike pale mtu wako anapompenda mwingine tofauti na wewe. Siku zote hua ni vigumu kumshawishi NYANI kwamba Asali ni tamu kuliko ndizi..."
Kama huyo hapo sasa kuna haja gani ya kumpokea anaporudi. 🙈🙈 Ikitokea anapokelewa basi ujue hayo maigizo hatokaa akayaacha.
Akaaaa. Nakazia aende tu.
Saba mara sabiniEti eee.
Naunga mkono hojaHapo chakuambiwa unachanganya na zako.
Imeandikwa samehe saba mara sabini na tano. Kisha usahau. Wanaume tunatakiwa tusamehewe
Basi tunawarudishieni king of assists in Tanzania kwa mkopo.Na kweli! MUACHE AENDE na hata akirudi hakuna kumuwashia taa za kijani.
Wa nini sa. 💃💃💃💃
Ila kiporo kinaweza kua kitamu ukajikuta unaking'ang'ania kiwe ndio mlo wa siku zote
Halafu ulipotezea quote yangu juzi useme kwa nini unatumia hili fekero Mtani.Basi tunawarudishieni king of assists in Tanzania kwa mkopo.
Tatizo tukiwasamehe inakuwa tabia hiyo Ses yaani utafanya mambo yako ukijua ntaporudi ntasamehewa.Sa
Saba mara sabini
Nakazia. 💃💃💃Um
Shadeeya umenikumbusha msemo mmoja wa wahenga wa kizungu ambao tafsiri yake inasema hivi;
"Ukimpenda mtu mwache huru, akirudi huyo ni wako asiporudi ujue hakuwahi kua wako" mwisho wa kunukuu
Asili ya neno mapenzi ni "ridhaa". Yaani mtu karidhika mwenyewe akukabidhi moyo wake, akiamua kuuchukua kutoka kwako basi shukuru Mungu utafute mwingine wa kumbembeleza akukabidhi mtima wake kama huyo aliyeondoka
Hahahaaa. Mtani huyo naye tunasema muache aende na akirudi tunamfanyia kama yule jamaa wa Gisenyi.Basi tunawarudishieni king of assists in Tanzania kwa mkopo.
Hahaha mtani hii niya ukivuruge wangu tu! No more else. Siku ile tulipokula ban kwenye ule Uzi. Nikaamua ifungua hii just for funyHalafu ulipotezea quote yangu juzi useme kwa nini unatumia hili fekero. Niambie hata herufi ya kwanza tu Mtani.
Saa zingine inabidi ukaze moyo ukisusie kiporo maisha yasonge, utafyte changamoto mpya huko mbele ya safariNimemwambia na Mie sumbai kupasha kiporo ndio mwanzo wa kuliendeleza.
Halafu kamji ka Gisenyi niliwahi kaa hapo ShadeeyaHahahaaa. Mtani huyo naye tunasema muache aende na akirudi tunamfanyia kama yule jamaa wa Gisenyi.
Mara sabin itakua haijafika halafu nyie Ke mmeumbwa na mioyo ya kusamehe ujueTatizo tukiwasamehe inakuwa tabia hiyo Ses yaani utafanya mambo yako ukijua ntaporudi ntasamehewa.
Tatizo ni kukisusia kiporo huku roho yako inauma.Saa zingine inabidi ukaze moyo ukisusie kiporo maisha yasonge, utafyte changamoto mpya huko mbele ya safari
Hahaha mngempa nini; si unajua bwana yule hawezagi vumilia njaaaHahahaaa. Mtani huyo naye tunasema muache aende na akirudi tunamfanyia kama yule jamaa wa Gisenyi.
Alisamehe mdomoni ila kashindwa kulitoa rohoni, heri muishie hapo maana huyo haupo tena moyoni mwake.Thank u alot,nina mwanamke sawa nimemkosea alinisamehe ila akaja tena akalianzisha now hajib sms zangu,ata call ilihali naweza mkuta online, najifunza kufunga mlango japo mazoea ,najaribu kumsihi wapi.nitamuacha aende soon nitatoa uamuzi siku yangu ya birthday apo september
Oooh. Hapo sawa Mtani.Hahaha mtani hii niya ukivuruge wangu tu! No more else. Siku ile tulipokula ban kwenye ule Uzi. Nikaamua ifungua hii just for funy
Hakika Ses.Saa zingine inabidi ukaze moyo ukisusie kiporo maisha yasonge, utafyte changamoto mpya huko mbele ya safari