an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 877
- 1,836
Aisee na bado utachapiwa
Njaa hizi daahYani Kuna mtu alikuwa had akitoka jasho namwambia bby pole 😂😂😂🙌
Pole sanaNjaa hizi daah
Nimeipenda hiiWasichana wataunga mkono hili huku wavulana wakipinga vikali, sisi wanaume tunaujua ukweli.
Aaah wapi! Kwisha habari yako."When the bed is still shaking the house is safe" Chinua Achebe.
Shangazi, pamoja na uzee huo ulionisingizia nyumba yetu bado ipo salama
Na hela imtunze kigaloniAisee na bado utachapiwa
SahihiTanzania iwekeze kwenye elimu tu na ibadilishe mfumo wa elimu kabisa. Ndipo itaanza kuona maendeleo baada ya miaka 15 mpaka 20 ya mabadiliko ya aina ya elimu yetu.
Kama hatutobadili mfumo wa limu nje ndani, maendeleo ya kweli tusahau, tutabaki kuwa ombaomba tu.
Kwa o,mbaomba namaanisha tegemezi, mfumo wetu wa elimu siyo wa mtu binafsi kujitegemea, ni wa kila mtu kutegemea afanyiwe.
Unaacha kuwafundisha wasihubiri ile 50/50 ili wapate hizo pesa we unatuaminisha upuuzi,madhara ya kutokupewa pesa unayajua wazi yameanzishwa na wao,nitoe pesa yangu ya jasho kwa lidada lenye wanaume zaidi yangu nani kakudanganya??Kindly refer to the heading above..
Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano;
Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no 41510040XXX (MILLICENT MZURI) ref:XXX4298373. Thanks for using Exim Mobile, call 0800 780 111 for any assistance needed.
Au,
AirtelMoney
Umetuma Tsh270,000.00 kwenda kwa MILLICENT MZURI. Salio lako jipya ni Tsh2,100,000.00. Muamala No: CI240503.1856.N57337
Hiyo miamala yote uwe umemtumia hata bila kuombwa. Kwa mfano huo muamala wa kwanza unakuwa umeutuma jana usiku wa saa saba wakati amelala, akiamka asubuhi anakutana na notification tu. Aisee, mapenzi utayasimulia katika muktadha wa tofauti sana.
Pengine huo muamala wa pili uwe umemtumia leo week end baada ya binti kukwambia anaenda kwenye birthday ya rafiki yake. Halafu muamala unafuatiwa na SMS hii, "baby pls manage that little token from me. Love always".
Hawa wanawake tunawalaumu bure tu. Tatizo ni kwamba hatuwapi PESA. Kwao pesa ndio kila kitu; nguvu za kiume, uaminifu, utulivu, upole, utu wema, usikivu, unyenyekevu n.k (mengine ongezea mwenyewe).
Sasa wewe hela hutumi, binti anajikaza anakuomba unaanza stori, sijui "ooh baby nipo mbali msibani huku tandahimba ndanindani nina cash tu na mawakala wako mbali", wakati siku hizi kuna sim banking, mobile money transfer n.k
Hata kama huna sim banking, mwanaume unakosaje akiba kidogo kwenye simu kwa ajili ya dharura?!!! Kwanza siku hizi kutembea na cash ni ushamba.
Wanaume tutafuteni pesa. Dunia haina huruma kwa masikini wote lakini hasa sisi WANAUME.
N:B
'MILLICENT MZURI' NI JINA LA KUSADIKIKA TU.
Na mara nyingi inakuwaga hivyo, alafu kile unacho muhonga na yy anahonga kwa jamaa anaye mpenda.Ukute uyo mdada unaemtumia hela kuna mwanaume mwingine anakula hapo hajawahi kutoa hata sh 10, na anapewa vinono kuliko wewe unaetoa hela
Hiyo hela anaenda kula na mchepuko wakeNaunga mkono hoja 🤣😁
Sio kweliHiyo hela anaenda kula na mchepuko wake
Una hoja mkuu.. Nakuunga mkonoUtakapo kuta huo Mwamala ameutransfer kwa Bwana Wake kama ulivyo usianze kule nyuzi za masikitiko humu.
Ukiskia mwanume kamuua mwanamke au kumdhuru ni baada ya kufanya ujinga kama huu akiamini Mwanamke atampenda.
Hiyo miamala watumie malaya tu watakulamba hadi makalio.