Jifunze kukaa kimya

Ingawa husema mficha maradhi kifo humuumbua...

Lakini ni kweli kabisa... mambo yako unajiachia mwenyewe...


Cc: mahondaw
 
Yeah wanafiki ni wengi sana sana
 
Kwasisi introverts wala haina shida maana ndio anga zetu hizi sasa hao wenzetu sidhani kama inawezekana.

Japokuwa wataalam wa saikolojia wanadai hii njia ni mbaya pia unaweza kupata balaa zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipa kodi kwa maendeleo ya inchi yetu ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…