Jifunze kujiajiri

Refrector

Senior Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
187
Reaction score
118
Habari zenu wapendwa, natoa mafunzo ya kujiajiri binafsi kwa njia ya mtandao yaani Whatsup group(Darasa).Masomo yatolewayo;-
~ Utengenezaji Sabuni za maji
~ Utengenezaji ubuyu
~ Utengenezaji mazulia
YOTE TSH.,5000/=.

~Tengeneza shampoo
~Tengeneza mafuta ya mgando
~Tengeneza karanga za mayai
YOTE TSH.5000/=

~ Tengeneza lotion ya kuwa rangi ya chungwa,
~Tengeneza sabuni ya Aloe vera
~Tengeneza sabuni ya choo
YOTE NI 5000/=

~Sabuni ya kipande
~Sabuni ya mwarobaini
~Mafuta ya nazi
TSH.5000/=

Karibuni elimu ya vifungashio na logo vitatolewa free.0629683560
 
JIFUNZE KUJIAJIRI
 
Kwa hiyo hayo mafunzo ni kwenye mtindo wa text tu? Vitendo MTU anapataje!?
 
Bado unatoa mafunzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…