Yah ni free kabsaaa maana hamna mwenye umiliki wa hii elimu hii kwanini huchaji hela wakt umeipata bureeeee?.Kaka kuna ghalama yoyote au n free
Tulio mbali je tutaipaje hiyo elimu?The path society ni jumuia ya walimu wa meditation waliojitolea kukufundisha kufanya meditation baada ya kuona kwa jinc gani jamii ya kitanzania inauhitaji wa meditation katika maisha yao
Fanya maisha yako yawe na maana sana kwa kufanya meditation na uwe mtu bora na siyo bora mtu. Elimu hii inatolewa buree katika ubora
Unajua kwa nini dalai lama mwana phylosophia mkubwa alishawahi kusema km kila mtoto wa miaka kumi akifundishwa meditation bac tunaweza tukaondoa kabisa ukatili katika muungo mmoja hii ni kwa sababu ya nguvu za meditation
Kuna faida nyingi Sanaa za kufanya meditation ikiwa ni pamoja na kuongeza umakini kwa kukufanya uwe positive
Fika changombe maduka mawili madarasa ya meditation yanatolewa kwaanzia saa nane mchana kila jmoc kwa mawasiliano wasiliana na mwalimu charles 0715583859 au unaweza kunitafuta kwa namba 0717291832 ntakuelekeza vizurr
UJAELEZA FAIDA ZAKE. UMEPITA JUU JUU. NIELeWAVYO Mimi hakuna kitu cha bure hapa duniani kuna gharama flan lazima kama sio kwa mpokeaji basi kwa mtoaji. Mnafaidika vipi kwa kugharamia hivyo vitu. KUWA MUWAZIYah ni free kabsaaa maana hamna mwenye umiliki wa hii elimu hii kwanini huchaji hela wakt umeipata bureeeee?.
TOFAUTI GANI?hamna kitu cha bure mjini hapa.
Tahajudi ni kitu kizuri sana mi nimejaribu kufanya na tofauti na anza kuona.
Ni kweli unavyosema ndugu lkn elimu hii ya meditation huwez Kuidhaminisha kwa pesa yoyote kwa sababu ni zaidi ya hivyo na kikubwa faida inayopatikana kwa mtoaji ni yeye anapata kwa jinc anavyotoa na si vinginevyo hiyo ni sheria ya giving ukitaka upate lzm utoe kwa kile kidogo ulicho nacho ili upate kingine zaidi na ili meditation uione inapositive impact kwako lzm utoe hiyo elimu uliyo ipata na si kuing'ang'ania ili upate maujuzi zaidiUJAELEZA FAIDA ZAKE. UMEPITA JUU JUU. NIELeWAVYO Mimi hakuna kitu cha bure hapa duniani kuna gharama flan lazima kama sio kwa mpokeaji basi kwa mtoaji. Mnafaidika vipi kwa kugharamia hivyo vitu. KUWA MUWAZI
Mbeya tunapatikana karbu na uwanja wa sokoinevipi tulio nje ya mikoa such as mbeya itakuaje, au ndo tumeshapoteza nafasi.
Arusha yuko mwalimu piaMimi niko arusha tutaipataje
Ulifanyaje mkuu maana ata mie hyo tabia ya hasira ts my weakness, nsaidie hata hatua za kufanya maana napenda hii k2 intoke!Meditation imenisaidia sana maana nilikuwa muoga hata kuangalia picha zakutisha naogopa ila nao nipo strong pia sina hasira tena
Teeeeeena???!!!Jihadjarini na hizi elimu zina madhara. Mnajua chanzo chake au mnashabikia tu? Mwisho mtajikuta mmevamiwa na mashetani. Tahadhari tafadhali.