Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
NDIOUkimaliza mafunzo Kuna vyeti?
CHUONi chuo ama ghetto mzee
90,000
Vp tunaweza kusoma online?
Sent from my TECNO PhonePad 3 using JamiiForums mobile app
ndioVp tunaweza kusoma online?
Sent from my TECNO PhonePad 3 using JamiiForums mobile app
Kwa mara ya kwanza nasoma kutoka kwako. Unaweza ukanijuza maana ya neno hilo?INTERNENT ni nini?
Tangazo linajieleza, "Tupo kinondoni Mwananyamala mkabala na shule ya Sekondari Kambangwa." Mengine mengi usisite kuwasiliana na sisi katika namba zilizooneshwa hapo juu.Chuo kipo wapi? Na fees structure? Nione pm
Hata mie nasubiri jibuMkuu 90000 ni kwa program moja ama kwa zote
Program zote.Mkuu 90000 ni kwa program moja ama kwa zote
Program zote.
Kwani amesema elfu 90 au laki 9 kama ulivyoandika wewe?Mtoa tangazo jiamini, sasa ukiandika 900, 000 tutaelewa nini
Umeulizwa ada hujajibu, usifikiri chuo cha kufundisha kompyuta ni kimoja hapa DSM, vyuo ni vingi mno inatakiwa uje tofauti na wengine ili uvutie wateja.
Sent using Jamii Forums mobile app