Jifunze kitu hapa...

Jifunze kitu hapa...

UrbanSaint

Senior Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
102
Reaction score
262
Kitu nilichojifunza kwenye maisha yangu kikubwa.

"Kuna watu watakudharau hauna kitu cha kuwapa kipya maishani mwao kwasababu wanajiona wamekuzidi elimu/pesa. Usiumie moyo endelea kujifunza utapiga hatua siku hadi siku, endelea kufanya kazi, UZOEFU, UTAKUJENGA utapata watu watakao kuskiliza taratibu siku hadi siku. "Jose wa 2020 sio sawa na Jose wa 2023. Huyu wa sasa ni JINI-MTU. Dharau zao zitumie Kuwa bora. Wala usishindane nao.

Na kingine kuna mtu hatonunua bidhaa au huduma kwa sababu muuzaji ni wewe. yuko radhi akanunue kwa bei kubwa kwingine ila sio kwako. Usiumie jifunze kutatua shida za stranger (Mtu usiye mfahamnu). Hio ndio sababu sijawahi kuwa na hata 1% expectations (mategemeo) kwa watu wanao nifahamu. 100% nitawatumia strangers kuuza vitu wanataka.

Na silaha kubwa kwenye maisha yangu ni kujifanya mjinga, sijui kitu. Na ni kweli sijawahi kujiona najua kitu ukiacha ukora wa Online huu. Mimi ni mtu mpole sana hata sauti yangu inajionesha. Huwezi nigundua face to face kama ndio huyu Jose wa online. Hio mbinu inanifanya nijifunze kwa kila mtu. Kila binadamu ana kitu kizuri, ukiwa wa mimi ni best hutopata madini mengi kwa watu. Anyway Sijui nilitaka kusema nn

Nilianza hustle Kampala with 0% support. Ilinijenga kujua ya kwamba Hauhitaji kuwa na ndugu tajiri/mwenye cheo/ kujulikana ili kufika sehemu nzuri. Unahitaji AKILI KUBWA TU ya "Nataka kufika PALE, kwa njia YOYOTE HALALI"
Sijafika nakotaka Ila MTUMAINIE MUNGU BRO/SIS hata wakati huoni mbele, juhudi zako anaziona.
 
Katika yote ni kuacha kuwa na matarajio makubwa kuelekea wengine. Ukimsaidia mtu ww leo si lazima na ww kesho ukiwa na shida akusaidie. Ukimuinua mtu ww leo si lazima awe chini yako au akusikilize daima. Katika yote fanya kwa moyo wako tu halafu sahau.
 
Binafsi huwa sipendi kuishi napojulikana. Ilo la mtu kwenda kununua Bei kubwa ili asinunue kwako ipo Sana mno. Yaani na haso mno nahitaji nifie ama nizekee usa. I need to transfer my dna kabisa.
 
Katika yote ni kuacha kuwa na matarajio makubwa kuelekea wengine.
Ukimsaidia mtu ww leo si lazima na ww kesho ukiwa na shida akusaidie.
Ukimuinua mtu ww leo si lazima awe chini yako au akusikilize daima.
Katika yote fanya kwa moyo wako tu halafu sahau.
Hakika,tanatakiwa kupunguza expectations (matarajio) pale tunaposaidia watu
 
Binafsi huwa sipendi kuishi napojulikana. Ilo la mtu kwenda kununua Bei kubwa ili asinunue kwako ipo Sana mno. Yaani na haso mno nahitaji nifie ama nizekee usa. I need to transfer my dna kabisa.
Wanataka kukuona ukila ila iso meza moja na wao
 
Hakika,tanatakiwa kupunguza expectations (matarajio) pale tunaposaidia watu
What hurts us is our own EXPECTATIONS. So practice detachments. We expect our children, parents, relatives, friends, project behave certain way ama kupata faida fulani ama maisha yetu yawe namna fulani Ila nb what it means to me comes easily accept it,and when it's time to leave me I accept easily with any personal fragile ego in stake. Ni Kama Nick alivyotokwa na Joan so inabidi akubali bila ya kukubali ataumia na anaweza akafanya impulsive or erratic decision ya kuvuta chuma kingine just to satisfy emotions desire ya REVENGE ndio akaumia zaidi. Ni mfano tu nimetolea
 
Back
Top Bottom