Kikubwa nawahusia vijana wote, tafuteni mali mkiwa na nguvu na uhuru, i mean ukiwa mwenyewe hapo unakuwa na nafasi kuamua ule, ulale, upange geto, uishi, ufanye nini ukiwa wapi, hii inakupa nafasi kutunza pesa.
Huwezi kunielewa endapo huwezi kutoka hapo ulipo ili upate exposure nje na kwenu kimkoa, wilaya au bongo land, toka tafadhali njoo nje upambane utunze shs ili ufanye makubwa kwa wakati wako.
Jamaa anakwambia nimezoea Arusha siwezi kutoka, pumbavu sana, ngoja uchapwe na maisha then ukamlilie mjombako kwenye boma!.