Jifunze jinsi ya kuongeza nguvu za kiume

aisee dunia ina mengi
 
Ndo maana amekwambia nguvu za kiume zinasababishwa na sababu nyingi, dawa uliyotumia wewe ikakusaidia inaweza isimsaidie mtu mwingine kutegemeana na chanzo cha tatizo lenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama umeoa hayo masaa 7 itakuaj? Wengine tunalala masaa 4 hayo matatu ni kutunza ndoa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuu inchi mbili ukiwa umesimAm au umelala? Mbona ulikuwa mdogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asiwadanye mtu hakuna dawa ya kuongeza uume,labda kama mnataka kuongeza matiti na makalio,hizo zipo,za uume bado,na ataefanikiwa kugundua atakua milionea kuliko wa dawa ya kansa na ukimwi,sababu maumbile na madogo ni shida ya wanaume wengi matajiri na viongozi wakuu wa kisiasa duniani ,wafanyabiashara na masikini ,ni janga,muhimu kujikubali tu
 
Endelea kusubiri kumeza ulichotafuniwa,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wa JF naomba mnisaidie mmnasumbuliwa na tatizo gani maan chini ya kitovu nasikia maumivu makali San na pia korodani moja ya upande wa kushoto nackia maumivu makali inavuta kwenda chin
Hili ni TATIZO gani
 
Ndugu zangu wa JF naomba mnisaidie mmnasumbuliwa na tatizo gani maan chini ya kitovu nasikia maumivu makali San na pia korodani moja ya upande wa kushoto nackia maumivu makali inavuta kwenda chin
Hili ni TATIZO gani
Magonjwa ya zinaa tu hayo,fika hospitali,utachomwa sindano moja na vidonge utapewa,tena harakisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…