Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
unatumia tecno gani?Nmejaribu kuipakua hii app bt nikifungua baada ya kuweka codes zngu haiendelei why?
Wapi amesema ana tecno mkuu?unatumia tecno gani?
KARIBU SANANi nzuri
Karibu sanaAsante kwa ujuzi
Umekwama wapi kaka nikusaidie.Nmejaribu kuipakua hii app bt nikifungua baada ya kuweka codes zngu haiendelei why?
Karibu sana kakaSubscribed
Embu nielekeze na mimi kidogoAudio Manager ni mwisho wa matatizo, hadi app inaficha. Ni utundu wako tu kuitumia
Kaka kama unavyojua umuhimu wa privacy huwezi kuwa na uhakika asilimia 100 nani anaye gusa simu yako au hata pale inapopotea mtu atakapo fanikiwa kuingia kwenye simu yako inakuwa ni ngumu kujua kama vitu viko sehemu hiyo.Kuficha mafaili ili nani asiyaone maaba simu ya mkononi ni ya mtu binafsi hamna mtu yyte wa kuishika sasa unachoficha ni nini?