Jifunze Jinsi ya Kuficha File za Simu kwa Kutumia Calculator

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
355
276
Habari Tena wana JF, Kama kawaida leo tunajifunza tena kitu kingine kuhusu teknolojia, leo tunajifunza kuhusu jinsi ya kuficha mafile ya simu yako kwa kutumia calculator au kikokotozi. Njia hizi ni rahisi na inaweza kukusaidia sana kuficha vitu mbalimbali kwenye simu yako ya Android, basi moja kwa moja twende tukanze somo letu.



LINK MAALUM
1. Maelezo kamili yanapatikana Hapa Jinsi ya Kuficha Vitu Kwenye Android kwa Kutumia Calculator
2. Download App ya Calculator Vault Gallery Lock Hapa Calculator Vault- Gallery Lock - Android Apps on Google Play
3. Njia za Kuficha SMS kwenye simu yako zinapatikana Hapa Jinsi ya Kuficha SMS na Call Logs za Mtu Kwenye Simu ya Android
4. Njia za kuficha picha na video za WhatsApp Hapa Jinsi ya Kuficha Picha na Video za WhatsApp Zisionekane Kwenye Gallery
KWA [HASHTAG]#MAUJANJA[/HASHTAG] ZAIDI HAKIKISHA UNA LIKE NA ILI KUPATA MAUJANJA MAPYA KILA WIKI. PIA KAMA UMEKWAMA USISITE KUTUANDIKIA HAPO CHINI NASI TUTAKUJIBU MOJA KWA MOJA.
 
Kuficha mafaili ili nani asiyaone maaba simu ya mkononi ni ya mtu binafsi hamna mtu yyte wa kuishika sasa unachoficha ni nini?
Kaka kama unavyojua umuhimu wa privacy huwezi kuwa na uhakika asilimia 100 nani anaye gusa simu yako au hata pale inapopotea mtu atakapo fanikiwa kuingia kwenye simu yako inakuwa ni ngumu kujua kama vitu viko sehemu hiyo.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom