D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Hahahaa🙌 hiyo nzuri maisha ni vita yaani kuua au kuuawaNa mimi nakazia kwamba 2020 kuna machaguo mawili (2) tu :-
Mtu aendelee kupambana mpaka kieleweke (kupata anachokitaka/mafanikio)
Au
Akate tamaa ili aendelee kudhalilika na kudharaulika
Choice is yours !
Sent using Jamii Forums mobile app
Malengo lazima yatimie kukupa tu uzima Mungu kakusaidia sana.hakuna kinachoshindikana ambacho mwanadamu mwingine kakiweza.Kufikia mwezi wa4 ninampango wakuongeza kipato changu kwaasilimia sio Chini ya50 Mungu nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
AMINAMalengo lazima yatimie kukupa tu uzima Mungu kakusaidia sana.hakuna kinachoshindikana ambacho mwanadamu mwingine kakiweza.
Nakuombea uvuke hata malengo uliyonayo kikubwa nidhamu yako binafsi na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima
Natumai walau umepata ujumbeNAONA UNAZIMENTION ID ZAKO ZINGINE KIAINA SIO???
Moderator NJOO UDILI NA MHALIFU FASTA HUKU!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai walau umepata ujumbeNAONA UNAZIMENTION ID ZAKO ZINGINE KIAINA SIO???
Moderator NJOO UDILI NA MHALIFU FASTA HUKU!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufikia mwezi wa4 ninampango wakuongeza kipato changu kwaasilimia sio Chini ya50 Mungu nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukhrani sana Mkuu Metakelfin.
Sikujua kama kuna watu nawainspire huku. Itabidi nikue sasa, nipunguze Jazba na Ghadhabu.
Nijitahidi kuchangia kwa ustaarabu.
Tatizo langu nina kumbu kumbu sana na niko very emotional. Mtu akiniletea unafiki naghadhabika ghafla.
Yaani humu nishapigwa BAN sana.
Ila tu niwashauri Moderator pia kama tayari wana access ya kufuta Threads za watu au Comments sasa kwanini wapige watu BAN tena za mwezi mzima ?
Shukhrani tena Mkuu.
Asante saana ndugu yetu wa JFHabari wapambanaji wenzangu ntafurahi kujua mko poa na mnaendelea na majukumu ya kimaisha,
Labda wale wa mpaka mwiaho wa mwezi Leo wamepumzika ila wajanja wanaendelea na side hustle,
Jumamosi ya Leo nimeona isipite bila kuandika chochote inaweza kukusaidia au kumsaidia mwingine kikubwa tusinyimane maarifa humu jf
•nawakumbusha hakuna kukata tamaa mwaka huu umeamua kupambana basi pambana kwelikweli usikate tamaa kwenye maisha ila ukizidiwa badilisha mbinu za mapambano,achana na wajinga wanaosema urudishe mpila kwa kipa hiyo ni Bonge la kosa kwenye maisha.
•jifunze kujishusha ili upate connection, kuna ile kauli ya maskini jeuri kama vipi iweke pembeni kidogo pale unapotafuta connection ila jishushe kwa mipaka sio mpaka unadharaulika kupitiliza huo utakua uzuzu.
•jifunze kuhusu fursa kabla hujaikimbilia,tunajua kutake risk ni moja kati ya mambo ya msingi ili uendelee kiuchumi ila basi jifunze kuhusu risk yenyewe kuepuka scams opportunity.
•Afya ndo kila kitu jitahidi angalau ufanye mazoezi basi kila unapopata nafasi hii itakufanya pia uupende mwili wako
•jitahidi uongeze vyanzo vyako vya mapato
•tumia muda vizuri,punguza kuangalia movie sana,kulala sana,kucheza games sana huo muda unaochezea ipo siku utajutia
•jijengee utaratibu wa kusoma vitabu na pia miliki diary uwe unaandika mawazo mbalimbali ya kujikwamua kiuchumi in you are free time.
•umaskini ni mbaya na una gharama na hapa naongelea zaidi umaskini wa kipato(kuna watu wataanza kusema ooh! Kikubwa uhai utajiri upo mbinguni, au hata uwe tajiri lakini utazikwa chini hizi ni akili za kimaskini na kipumbavu piga chini)
•badilisha taratibu aina ya marafiki ulionao wale wasiokujenga piga chini.
•connection yako na watu ndio msingi mkuu wa maisha na kumaintain life
Tafuta connection za kukujenga na kukuimarisha watu ambao unajua hata ukikaa nao mkajadili mambo ya msingi kimaisha na kiuchumi lazima utoke na madini ya kutosha hao ndo watu wa kuwa na connection nao,
Kwa humu jf nazungumzia watu kama
Asha D Abinallah
Pascal Mayalla
CHASHA FARMING
JZHOELO
Mkaruka
manengelo
GLOBAL CITIZEN
kinundu (aweke tu mapuuza pembeni ana akili sana ila hapendi kuzitumia akijiongeza atafika mbali)
The Monk
Mwl.RCT
RRONDO (masikhara mengi )
Watu hawa Na wengineo siwezi kuwataja wote nikamaliza ila ni wenye Mawazo chanya na kiukweli huwa naheshimu sana michango yao na point wanazoziandika humu ndani
I STAND TO BE CORRECTED
Nashukuru kwa ujumbe wako mkuu.Leo nilikua nasoma kitabu cha succeed and grow rich through persuasion...
Kuna vitu muhimu ambavyo unapaswa kujitathimini!
1.define your goal &move towards them
2.learn to go the extra miles(ndo nipo sasa mimi hapa)
3Put enthuasim into your words n deeds(nipo hapa)
4.Develop your capacity for faith
5.control and direct your emotions
6.control your dominating thoughy habits
7.Learn to transmute adversity into a benefit😊
8 transmute sex emotion...
9.Follow the habit of prayer
Jiangalie wapi uko weak!
Ni kweli mkuu Ni muhimu kumtanguliza mwenyezi MUNGU Ili tunapokua kiuchumi tusikumbane na mabalaa.Asante saana ndugu yetu wa JF
Naamini mwisho wa mwaka huu tutakuja na mrejesho mzuri sana aisee!
Ubarikiwe sana kutukumbusha vitu muhimu sana maishani.
Pia sisitiza ibada kwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu Ni muhimu kumtanguliza mwenyezi MUNGU Ili tunapokua kiuchumi tusikumbane na mabalaa,Asante saana ndugu yetu wa JF
Naamini mwisho wa mwaka huu tutakuja na mrejesho mzuri sana aisee!
Ubarikiwe sana kutukumbusha vitu muhimu sana maishani.
Pia sisitiza ibada kwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app