Upo sawa #chef-mkwawa but ukweli unabak pale pale japo android hana coding kubwa kwenye os yake na ni coz ya kuwekeza katika demand ya soko la small devices na hakuwa na security kubwa lakin tunapoelekea anaingia kwenye demand ya device za kati kama laptop na pc hichi kitu kitamfanya aongeze security kwenye os yake na.pia aongeze coding ili kusupport processor kubwa na apps nzito..
Let time will tell ila naona kikitokea mbeleni..
Kuhusu nokia hakusitisha bila reason ile symbian..
Ile symbian ilianza kudorora android alipokuja na open source developer wakahamia kwake wakamuacha yy akiwa na.narrow apps zikiwa na developer weng walizoziacha na zisizofanyiwa update tena..
So android ndo ilimforc nokia kushake hadi kuamua kuuza kwa microsoft...
Na swala ADOBE PHOTOSHOP walisitisha coz ilifail kutokana na feedback ya users kutokana na android nyingi devices zake kuwa na screen ndogo so feature nying developer aliziminya..ila tuelekeapo watarud kuendelea na kuzitengeneza...
Mkuu Nokia alisitisha symbian 2010 Elop alipoteuliwa kama CEO na wakati huo symbian ilikuwa kubwa kushinda android na ios ukizijumlisha.
Hivyo symbian iliuliwa na Nokia na sio android na ios kama vyombo vingi vya habari vinavyosema angalia mwenyewe mauzo ya Nokia 2010 utaamini, Nokia ameeka rekodi ya dunia mwaka huo simu milioni 500 aliuza hakuna alieifikia hadi leo.
Angalia hii graph
Mwishoni mwa mwaka 2010 symbian ndio ilikuwa katika peak lakini Elop akai discontinue symbian, kama symbian imekuwa discontinued ikiwa ni kubwa kuliko android na ios combined iweje useme android ndo imeiua symbian? Elop kaiua symbian na meego ili Nokia waende wp kama alivyotumwa na waajiri wake wa zamani.
kuhusu Android mkuu unatakiwa ujue haya
-bidhaa za google ni mimi na wewe, usitegemee aeke tight security siku zote ataacha matundu. unafikiri mapato ya google yanatokana na nini wakati os ni bure?
-nikisema developer simaanishi idadi ya code za os, namaanisha ili utengeneze app ya simu kama whatsapp, facebook na app zako unazozipenda unahitaji pc inaweza isiwe windows ikawa mac au linux ila still utahitaji x86 architechture, developer almsot wote hawatengenezi program zao na android wala os za simu
-photoshop yA SIMU hadi leo ninayo nani kasema feature ziliminywa? ma icon makubwa kabisa, umewahi itumia? hebu angalia kimeminywa nini
na Windows kila siku inashuka chini kwenye ukubwa wa vifaa, sasa hivi mauzo ya tablets yanashuka kila siku ila mauzo ya tablets za windows yanapanda. watu hawataki os dhaifu kwenye vifaa vyao. sasa hivi kuna tablet gani ya android utaifananisha na surface pro?