Jifunze computer programming kwa kiswahili na cybergates

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
711
Reaction score
1,508
Leo jioni nilikuwa na rafiki mmoja, alikuwa analalamika atatamani kujifunza programming lakini kiingereza kinachotumika kwenye vitabu na Youtube video kinamchangaya haelewi.

Ameniomba nimfundishe japo basic programming kwenye PL angalau 2.

Nimeona kama kumfundisha mtu mmoja ni upotevu wa muda. Nimeona kama nitaanzisha Youtube channel nikawa nafundisha programming naweza kusaidia wengi.

Mimi kama mimi naweza kufundisha hizi language

1.C
2.C++
3.C#
4.PHP
5.Perl
5.Python
6.Ruby
7.Swift
8.Javascript(React.js)
9.Java (Sio sana)

Na Database
1.MySQL
2.NoSQL
3.MongoDB

Nataka nianze kufundisha kuanzia mwakani (02/01/2020) nitumie Kiswahili na Kiingereza simple hata mtu ambae hana background ya computer aweze kuelewa,

Mwezi Wa 11 na 12 nataka ni-record angalau Basic programming in C.

Sijawahi hata ku-upload single video huku Youtube, sijui ni software gani zinatumika ku-edit video, sauti, kuweka maneno katikati ya video.

Nilikuwa naomba yafuatayo:
1. Kama kuna mtu anajua software nzuri ya kurecord screen ya computer naomba aniambie.
2. Mic gani nzuri ya kurecord real time audio
3. Na camera kwa ajili ya kuchukua video kwenye white board wakati natoa explanation.

Tutaanza na Basic hapa nitatumia Complier kawaida alafu advance tutategeneza project na kuiweka online.

Jina la video litakuwa hivi:
Lean Java Programming basic – Variables – (Swahili).
"Lean Java Programming basic" - jina la PL
" Variables" -topic iliyopo
" Swahili" - Lugha
 
[/QUOTE] Anzishaa mkuu wasomaji tupo..
 
Mkuu wasomaji tupo kibao.. anzisha tu tutasoma na kujifunza pia.
 
Nakushauriiiii hiii ni idea nzuri snaa man ila nachokushauri ungeanza na simple test mfano

Unaweza chukua mic na filter nzur kikuuu ambayo ziko poa sana kwnye filtering za voice.

Kisha chek upepo maana mwisho wa siku nawe unataka kulipwa pia na youtube au private lessons

Wkaat unajikusanya anza na style hio ili kufika mda unaotaka unakuwa tyr una wafuatiliaji wa kutoshaa

Me mbali na hacking na security ila nafanya promotion nina acc ya youtube na nilianza hivoo now nalipwa pesa nzuri sana

So inaweza kuwa advantage

Nitakutumia my screen recorder ambayo ni best niliyokuwa natumiaga kipindi sijaishit bado windows
 
Nitakua na record lesson kipindi nipo free, nilikua sijafikiria kuhusu kulipwa au kupata ele. Screen recorder na video editor bado sijapata nzuri
 
Wazo nzuri maana hata mwenyew kuna baadhi ya matemu siyaelewagi kabisa kweny vitabu na kweny solo Learn kw hiyo lugha yao
 
ikiwezekana weka hata link ya channel leo tuingie tusubscribe ili tukupe moyo mapema
 
Fungua hata WhatsApp tuwe tunakulipa kwa program mtu akilipa una muunga kama tulikuwa tunalipa kusoma hadithi tu itakuwa programming.
 
Haaha, hapana mkuu, Engineer kama mm niki anzisha whatsapp group itakua uongo bora nitengeneza website au app Subscribed users wawe wana angalia video mpaka mwisho, na kuziia watu ku download video zangu nazi nazifanyia encryption zina play tu kwenye system zangu lkn bado sijafikiria hili nataka watu wajue tu programming
 
FINALE, Tayari Chanel Ipo online, Tunaanza Jmosi Hii, Lean C programming Language Basic For Beginners - Introduction - (Swahili), The Real Voice Cybergates Hapa.

Tutaanza na Overview ya C programming Language, uses na list ya baadhi ya software ambazo zibe base (zimetengenezwa kwa hii language) na Tools amabazo Tutatumia, Pia Installation On Mac system na Window system

Channel Name
: Cybergates

Channel Logo
edited.jpg

Core
474721-Linux-Kali_Linux_NetHunter-Photoshop-dragon (2).jpg

Ipo hivi

Screenshot (297)_LI.jpg

Screenshot (298).png

Changamoto ni kwamba bado sijapata HD screen recorder
 
Attachments

  • edited.jpg
    edited.jpg
    25.1 KB · Views: 11
  • 474721-Linux-Kali_Linux_NetHunter-Photoshop-dragonJJJJJJJJJJ.jpg
    474721-Linux-Kali_Linux_NetHunter-Photoshop-dragonJJJJJJJJJJ.jpg
    28 KB · Views: 11
naiman na sisi ambao atujui ata maana ya iyo c wala c++ tutapata chochote....nimesubscribe kabisa hii thread any updates naomba uweke apa pia tuweze kupata chochote ambao tupo interested na computer ila atujapata nafasi ya kuisoma
 
Mkuu, ka subscribe na kule youtube, darasa linaanza Jmosi hii, hapa utapata tu update video zitakua kule, Kuhusu Programming usijali Kitaeleweka tu
 
Usisahau vitu hivi
1. Web design /hosting/bandwidth/custom domain n.k
2. Jinsi ya kutengeneza blogspot & wordpress templates
 
Umepata Screen Recorder, Audio IS na Video Editing Software?

Nina experience ya 3 years katika masuala ya Audiovisuals, Photography, Design na Editing.

Nakusikiliza
 
Back
Top Bottom