Jifunze Computer Programming au ongeza maarifa hapa

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,299
Reaction score
6,102
Hello bosses.

Kwa wale mnaohitaji kujifunza au kujiboresha katika Computer Programming karibuni kwenye community ya tech255.com ambayo imegawanyika katika sehemu 3

1) Website
Hapa utapata kozi mbalimbali ambazo zimeandikwa kwa kiswahili na kupangiliwa vizuri. Zinapatikana kozi mbalimbali za programming na nyingine huongezwa

2) Forum
Hapa utaweza kuuliza swali lolote linalohusiana na computer programming kisha admins na experts wengine watakujibu. Vile vile kama unataka kutengeneza kitu fln unaweza kuuliza hapo kwenye forum na ukajibiwa.

3) Whatsapp Group.
Baada ya kufanikiwa kujiunga na tech255.com namba yako itaunganishwa kwenye group letu la whatsapp ambapo kila member ataweza kupata personal training kila weekend kutoka kwa admins na experts wetu. Cha kufanya itabidi tu member aulize swali au aseme kitu gani anataka kujifunza kisha atajibiwa

MEMBER ATAWEZA KUULIZA SWALI KWENYE FORUM HATA KWA KOZI AMBAZO BADO HAZIJAWEKWA KWA SABABU KUANDAA KOZI NA KUIPANGILIA INACHUKUA MUDA

Ili kujiunga tembelea tech255.com kisha jisajili na ununue credits (5000 Tsh tu) Maelezo zaidi unapewa ukitembelea tech255.com

Tayari tuko na members kadhaa kutoka humu na wanaridhika na huduma yetu.

Karibuni

 
Hiii platform nimeanza kuitumia week moja mpk Sasa but nimejikuta nikiengeza Kasi katka Safari yangu ya kujifunza programming. Mara ya Kwanza ilikuwa nikiwa na swali nazunguka naloo weeeww huko Google na mwisho sielewi na kuwatumia swali programmer ninaowafaham ila hakuna hata mmoja ananijib
wengi wao wana katabia kakijinga yan hawa reply kabisaa anyway Mambo yasiwe mengi newbie nenden huko 255tech.com hamtajuti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…