CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,422
Those interested will read, wengine hobby yao ni kusoma kama mimi. We acha, kuna some will get it printed and read!Sasa hapo si bora usingeweka, wewe unapaswa utoe uchambuzi hapa sasa huo mda Wa kusoma utumbo woote huo tunaupata wapi?
dkali you have proved to me the saying which goes thus: if you want to hide something from a Tanzanian, get it into a book!Sasa hapo si bora usingeweka, wewe unapaswa utoe uchambuzi hapa sasa huo mda Wa kusoma utumbo woote huo tunaupata wapi?
hivi hii ndo habari ya mujini sasa ivi nini naona ina trend mh!!!!!!!!!Wadau someni hii article mjielimishe kuhusu uchochezi. Elimu haina mwisho!
Ahsante mkuu, ngoja tutanue bongo kwa kusoma mstari baada ya mstari.Wadau someni hii article mjielimishe kuhusu uchochezi. Elimu haina mwisho!