Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,542 Feb 15, 2016 #61 miss chagga said: leo unashida gani? mbona unalia vilio vya ajabu ajabu vinaamsha hisia Click to expand... Ha ha ha hisia za kulia au?
miss chagga said: leo unashida gani? mbona unalia vilio vya ajabu ajabu vinaamsha hisia Click to expand... Ha ha ha hisia za kulia au?
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 15, 2016 #62 Ndalama said: Ha ha ha hisia za kulia au? Click to expand... Ndiyo vilio vibaya hivi
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,542 Feb 15, 2016 #63 warumi said: jaman nimelia kweli leo kusikia hii habari loh Click to expand... Sasa unalia kwanini wakati Jide mwenyewe ndiye aliyeiomba hiyo talaka?
warumi said: jaman nimelia kweli leo kusikia hii habari loh Click to expand... Sasa unalia kwanini wakati Jide mwenyewe ndiye aliyeiomba hiyo talaka?
Ndalama JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 8,787 Reaction score 6,542 Feb 15, 2016 #64 screpa said: Gardner sasa yuko huru kuolewa tena Click to expand... Mhhh hii kubwa kuliko
A anna mbuja Senior Member Joined Jan 28, 2016 Posts 131 Reaction score 69 Feb 15, 2016 #65 Itabidi jide amtafute idriss sultan a.k.a dr mwaka kama shida yake ni kupata mtoto hahahahhah
G Ground 00 JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 2,112 Reaction score 1,587 Feb 16, 2016 #66 Ndallo said: Hawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana? Click to expand... Dah! Wewe...umenisikitisha mno.
Ndallo said: Hawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana? Click to expand... Dah! Wewe...umenisikitisha mno.
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,813 Reaction score 5,522 Feb 16, 2016 #67 mkonongo1938 said: Duuu ngoja nianze kujipendekeza kwa jide anipe jina mjini hapa. Click to expand... Tuko wengi kwenye huo usaili!
mkonongo1938 said: Duuu ngoja nianze kujipendekeza kwa jide anipe jina mjini hapa. Click to expand... Tuko wengi kwenye huo usaili!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,920 Feb 16, 2016 #68 Mwanapropaganda said: Harusi kanisani, taraka mahakamani. Click to expand... Hawakufunga ndoa ya kanisa nadhani...
Mwanapropaganda said: Harusi kanisani, taraka mahakamani. Click to expand... Hawakufunga ndoa ya kanisa nadhani...
chilonge JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 1,656 Reaction score 3,190 Feb 16, 2016 #69 Ndallo said: Hawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana? Click to expand... Kwani mtoto ndo kigezo cha watu waliooana?!
Ndallo said: Hawa walikuwa wameoana au walikua wachumba sugu? Hata mtoto hawana? Click to expand... Kwani mtoto ndo kigezo cha watu waliooana?!
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,038 Reaction score 3,034 Feb 16, 2016 #70 Kwa jide alikuwa kakosea njia coz jide ni mzee hata hawaendani. kabisaa..cheki mtoto alienae sasa hivi ni hatareeeee...... mtoto mkareeeeeee..... Attachments 1455616100964.jpg 29.9 KB · Views: 24
Kwa jide alikuwa kakosea njia coz jide ni mzee hata hawaendani. kabisaa..cheki mtoto alienae sasa hivi ni hatareeeee...... mtoto mkareeeeeee.....
iGodmanhustler JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 609 Reaction score 343 Feb 16, 2016 #71 screpa said: Gardner sasa yuko huru kuolewa tena Click to expand... Ahaaaa weee jamaa
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,701 Reaction score 14,104 Feb 16, 2016 #72 Hulda-Tamarri said: Kufeni!!! Kwani huku mlikuja kufanyaje??! Click to expand... ASANTE......''SINTAKUFA BALI NITAISHI NAMI NITASIMULIA MATENDO YA BWANA''
Hulda-Tamarri said: Kufeni!!! Kwani huku mlikuja kufanyaje??! Click to expand... ASANTE......''SINTAKUFA BALI NITAISHI NAMI NITASIMULIA MATENDO YA BWANA''
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,397 Feb 16, 2016 #73 Usije Taka ndoa kwa pupa ukaukondesha mwili..
Hulda-Tamarri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 1,881 Reaction score 2,401 Feb 18, 2016 #74 nzalendo said: ASANTE......''SINTAKUFA BALI NITAISHI NAMI NITASIMULIA MATENDO YA BWANA'' Click to expand... Atleast ungetoa jibu ningekuelewa. We mtu unaandika thread, umekuja mwenyewe alafu unauliza eti anataka mfanyeje?! Kejeli hujibiwa kwa kejeli
nzalendo said: ASANTE......''SINTAKUFA BALI NITAISHI NAMI NITASIMULIA MATENDO YA BWANA'' Click to expand... Atleast ungetoa jibu ningekuelewa. We mtu unaandika thread, umekuja mwenyewe alafu unauliza eti anataka mfanyeje?! Kejeli hujibiwa kwa kejeli
warumi R I P Joined May 6, 2013 Posts 16,213 Reaction score 18,455 Feb 19, 2016 Thread starter #75 jide anaolewa na waziri flan iv amazing gadner akanye
upendodaima JF-Expert Member Joined May 23, 2013 Posts 4,086 Reaction score 4,521 Feb 19, 2016 #76 screpa said: Gardner sasa yuko huru kuolewa tena Click to expand... Huu sasa ugomvi wa ngumi na mateke.
screpa said: Gardner sasa yuko huru kuolewa tena Click to expand... Huu sasa ugomvi wa ngumi na mateke.
tweenty4seven JF-Expert Member Joined Sep 21, 2013 Posts 15,896 Reaction score 19,755 Feb 19, 2016 #77 warumi said: jide anaolewa na waziri flan iv amazing gadner akanye Click to expand... binamu huyo waziri hana mke au ndio kma wastara vile no.4
warumi said: jide anaolewa na waziri flan iv amazing gadner akanye Click to expand... binamu huyo waziri hana mke au ndio kma wastara vile no.4
Mkendo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,142 Reaction score 2,241 Feb 19, 2016 #78 Unajua Gardner G. Habash alijichanganya sana kuachana na Mke wake wa kwanza hii ni dhambi inamtafuna na hili suala uwa linamgharimu sana moyoni mwake wangekuwa mbali sana muhimu akumbuke kumlea mtoto wake kwa mke wake wa kwanza.
Unajua Gardner G. Habash alijichanganya sana kuachana na Mke wake wa kwanza hii ni dhambi inamtafuna na hili suala uwa linamgharimu sana moyoni mwake wangekuwa mbali sana muhimu akumbuke kumlea mtoto wake kwa mke wake wa kwanza.