Diamond angeshakimbia we sema anayempenda (wema) yuko hapa TZ kwa hiyo kijana wa Tandale hawezi toroka. Nikirudi kwa huyo Jide ni kuwa kwa sasa ana mawazo sana hivyo watu wake wa karibu wajitahidi kumfariji. Maumivu ya kuachwa/kuacha/kuachana/kuachanishwa ni makali sana hayana mfano.