Jicho lisilokuwa na tongotongo:majibu kwa mwigulu nchemba bomb la arusha was planned na chadema

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,700
Hbr wanajamii forum,nimeamua tujikumbushe kidogo jinsi gani mh mwigulu Nchemba mbunge katibu mkuu bara wa ccm jinsi gani alikuwa analitafsiri suala la mlipuko wa bomb wa Arusha mnamo tarehe 17.06.2013 akiwa bungeni na kuishutumu moja kwa moja kuwa wamehusika na mlipuko wa Arusha ili wa gain popularity alikaririwa akisema "muheshimiwa speaker kuna haja ya vyombo vya ulinzi na usalama kuwa na mpango thabiti wa kuimarisha amani na usalama na nchi,maana upo uwezekano hata hii milipuko ya mabomu wakawa ni watu kutoka nje ya nchi jirani zetu wakawa wanapanga halafu sisi kwa sababu wanajua tunahusudu sana siasa tukaanza kushutumiana wenyewe kwa wenyewe ili mradi tu tukose watalii nk,ipo ilevile haja yakuanzisha mpango kabambe wa kuleta ajira kwa vijana ,maana hata haya maandamano tunayoyaona kila siku inatokana na vijana kutikuwa na ajira(from nowwhere) akabadilisha maada na kuanza kuzungumzia mlipuko na kusema mimi nina uhakika kabisa bomb walirusha chadema wenyewe,wewe hushangai hata ile video ambayo wameitoa iko u tube inaonyesha kabisa bomu linaripuka lakini mchukua picha hata hatingishi wa kuyumba utafikiri kama yuko kwenye SENDOFF!!
My take there ilikuwa ni kwamba jamaa anaanza kujitetea kwani siku moja kabla hajazungumza bungeni mwenyekiti wa CDM ,Mh freeman mbowe alikaririwa na vyombo vya habari kwamba chadema tunao ushahidi wa picha na video kwamba aliyeripua kashirikiana na polisi,Achilia mbali ushaidi wa majeruhi wa bomu wakubwa na watoto wakithibitisha kupigwa risasi na polisi,pia mbinu za serikali ya chama cha mapinduzi ya kutaka kuwamalizia baadhi ya wagonjwa majeruhi wa bomu hilo kwa kutumia mbinu ya baadhi ya askari kujifanya madaktari katika hospitali ya Serian,isitoshe vilevile tuliona ushahidi wa kimazingira kwa kitendo cha bunge kutolifanya lile tukio sio la kitaifa na kuamua kuendelea kama kawaida
Katika dunia iliyojaa sayansi za technolojia kuna kila sababu kusema kuwa Mh nchemba umepitwa na wakati na hata usingethubutu kutoa kauli ile bungeni,hii pia inanishawishi mimi na hata watu wengine kuamini kuwa serikali ilishiriki kwa aina moja au nyingine kama ilivyoshutumiwa katika masuala mbalimbali ya kuwatesa watu kama vile Dr ulimboka,kifo cha Mwangosi(RIP) na hata suala la kibanda,Ni staili ileile ndo muheshimiwa aliitumia kuanzisha au kuhitimisha ugaidi huo na kuukana katika vyombo vya habari ,sote tunakumbuka kuhusu suala la Lwakatare alikamatwa na kutengenezewa video feki,kabla hajakamatwa muheshimiwa alikaririwa na vyombo vya habari akijigamba kwamba ana video ya mpango wa mauaji ya CDM wtu wenye akili wakamuuliza mbona hujapeleka kwenye vyombo vy habari?,hali kadharika katika hili la Arusha ,mara baada ya kurudi aliandika JF kuwa hamana mpango wa binadamu uliokamilika naomba tusamehane tulijenge taifa,hii ni baada ya kujua nini kitatokea siku kadhaa zijazo,isitoshe upo ushaidi mwingine kuwa lile bom(pin zake zimetoka china) nani alienda china wiki kadhaa kabla ya tukio?kwanini asihojiwe?jibu ni kwamba analindwa na mamlaka
Katika kuthibitisha video ya Arusha sio ya kufoji kama ya kwake ile ushaidi upo na unakuja tujikumbushe matukio kadha ambayo yameshawahi kutokea duniani na yakarekodiwa
1,september 11 ipo u tube
2.kitendo cha bush kurushiwa kiatu kule Iraq was it planned?
3.JK alianguka Jangwani video ipo u tube was it planned?
4.Mh Mwinyi alipigwa kibao mnazi mmoja was it planned?
5.Mwigulu Nchemba alikaririwa akisema Arusha wasipochagua CCM watakufa video ipo U-tube was it planned?
 
Back
Top Bottom